Mke kutoka kwa Bwana karibu

Mke kutoka kwa Bwana karibu

Joined
Jun 18, 2025
Posts
84
Reaction score
149
Hodii humu ndani !

Kama kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, ikiwa upo humu na huenda unawaza Kama Mimi unahitaji upate mme Basi karibu Sana.
Umri wangu 35 Elimu degree moja, nimejiajiri
Hela ya matumizi ya kawaida ipo uwezo was kupanga nyumba nzima upo kusomesha watoto na kumtunza mama yao naweza , Mimi ni mrefu mwembamba maji ya kunde.

Sifa za mke nimtakae
Umri miaka 20 Hadi 29 asiwe mnene mwili wa kawaida mrefu wastani asiwe mfupi rangi yeyote kabila lolote , awe mkristo madhehebu yote Ila sio mshirika wa mitume na manabii mkoa wowote sawa.
Elimu: kuanzia ngazi ya cheti na kuendelea,
Tahadhari wale nitumie nauli nije mara hela ya Kodi imeisha , sio kwamba sitakuhudumia Ila huduma itakuja ikiwa lengo na kuolewa tu na si vinginevyo huna nia kaa mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom