Mke kutoka kwa bwana anakujaje?

Mke kutoka kwa bwana anakujaje?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,667
Reaction score
57,077
Watu wakubwa wananishauri nikitaka mke wa kuoa nitulie kwamba nikimuomba Mungu atamleta na kunionyesha kuwa huyu ndiye.sasa Mimi sijawahi kujua Kama namna Mungu anavyoongea na wanaume na kuwaonyesha wanawake wazuri,wake wazuri.nachojua unatakiwa tu wewe ndio uchague mzuri na umuombe muoane.ukisema usubiri Mungu akuonyeshe Ni kujidanganya.utavuna unachopanda.ni heri uchague mke ambaye wewe unaona Ni mrembo Sana hata Kama umesikia Ana tabia mbaya.kuliko uoe mwanamke ambaye sio mrembo hata akikukosea unaona vigumu kumsamehe.kwa sababu kwanza tabia me naamini zinaweza kubadilika muda wowote.kuna sababu internal na zike external.hakafu unakuta Kuna wadada wengine wanafahamika kwa vitabia vingi vibaya wanasemwa vibaya japo Ni vitabia ambavyo havina madhara Sana kwa upande wa mahusiano yenu. lakini Kuna ambao unawaona Ni wapole wa usoni ukadhani Wana tabia nzuri kumbe wana Mambo Yao siri makubwa na mabaya yasiyofahamika japo kwa nje Wana nidhamu.sasa kwa bahati mbaya Mungu hajatengeneza system ya kujua tabia zote za mtu au mawazo awazayo mtu.kwa hiyo Mungu anatoaje maono.maana Kuna jamaa yangu ananiambia kwamba mke analetwa na Mungu na huna haja ya kuforce au kumtongoza inakuja tu automatic anakuwa mke mwema
 
Kuna mhubiri mmoja wa kimarekani, katika kuhitimisha somo lake juu ya suala ulilouliza, alisema hivi If God loves you enough, and you are faithfully enough to him, he will not give you a bed substitute but a real joy.

Hahaaaa, kumbe kuna mke ambaye anakuwa ni mbadala wa kitandani tu, ila hakupi furaha maishani. Na hapo ndipo itakulazimu kuitafuta furaha iliyokosekana sehemu nyingine. Hivyo mambo yanakuwa hivi, unakuwa na mke kwa ajili ya ngono, na mchepuko unaokupa ngono na furaha. Uchaguzi ni wako. Kuoa mke kama mbadala wa kitandani, au mke atakayekuridhisha kitandani na pia ataufanya moyo wako kuwa na furaha na amani.
 
Kua uelewe kwanini WAREMBO ni MICHEPUKO na MANUNGAYEMBE NDO WAKO NDANI (WAMEOLEWA).

utanielewa siku ukikua na kujilaumu kwa nini hukusikiliza wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When You think you know it all,that is the point at which you know nothing,,,ndoa sio hali ya hewa ,kwamba zamani na leo ni tofauti, sikiliza ushauri wa wakubwa wako hutojuta, kama hujui kuongea na Mungu,jifunze hujachelewa, usione ndoa imetulia ukafikri ni rahisi, ina misingi yake! ,, marriage to be real, must be spiritually based,
 
When You think you know it all,that is the point at which you know nothing,,,ndoa sio hali ya hewa ,kwamba zamani na leo ni tofauti, sikiliza ushauri wa wakubwa wako hutojuta, kama hujui kuongea na Mungu,jifunze hujachelewa, usione ndoa imetulia ukafikri ni rahisi, ina misingi yake! ,, marriage to be real, must be spiritually based,
Asante kwa comment nzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom