MBUZI MWENYE BUSARA
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 143
- 160
Sijawahi kuwaza kufanya hiyo mambo aisee..Niuamuzi wa mtu binafsi, nikiwa na umri wa miaka 13 nilikataa kuvaa nguo za kushonshwa , itakuwaje kwa sasa mke mke ashoneshe nguo tena kitenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena nadhani unaenda lunch kwanza!!Nitarudi
Rudi sasaHuu utamaduni tumeuiga Afrika Magharibi na kwakweli unapendeza. Ni ubunifu tu na show love
View attachment 1359324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niuamuzi wa mtu binafsi, nikiwa na umri wa miaka 13 nilikataa kuvaa nguo za kushonshwa , itakuwaje kwa sasa mke mke ashoneshe nguo tena kitenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi napenda shati ya kitenge lakini iwe imeshonwa shati kama shati siyo mamitindo ya wapi sijui Africa Magharibi mara punjabi kama huyo mshkaji hapoHuu utamaduni tumeuiga Afrika Magharibi na kwakweli unapendeza. Ni ubunifu tu na show love
View attachment 1359324
View attachment 1359325
Ninajiuliza kama huvai nguo za kushona unavaa nguo zilizofanyaje. Kwa uelewa wangu mdogo nguo zote zinashonwa ila materials ndio tofauti. Ndio maana mleta mada akawa specific kwa kutaja vitenge. Labda unifafanulie.Niuamuzi wa mtu binafsi, nikiwa na umri wa miaka 13 nilikataa kuvaa nguo za kushonshwa , itakuwaje kwa sasa mke mke ashoneshe nguo tena kitenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hujapenda.Sijawahi kutamani kufanya hii kitu,sina mpango wa kufanya!