Mke kukimbia mume

Mke kukimbia mume

kadogosakado

Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
35
Reaction score
3
Inasikitisha mke kukimbia mume baada ya kuona kaishiwa lakini huyohuyo mume kahangika hadi alipo ni halali ushauri,maoni
 
Mtu anakimbia na watoto anawaacha huko huko!!Ndo matatizo ya wanaume kuingizwa mkenge wa kuoa vitegemezi...siku ukiishiwa hunaye tena!!
 
Anakutia akili ili utafute zaidi sio kukaaa kaa tu.
 
Back
Top Bottom