Sioni kama ni tatizo maana mkeo kachukua majukumu ya mama yako kwa sasa hivyo ni sahihi kuitwa mama, hata wewe umuite mama maana mama yko alikuogesha (mkeo nafanya hivyo hivyo) alikufulia alikufanyia kila aina ya usafi na kukupikia mkeo anayafanya yote hivyo kwann uone tabu kumuita mama?