Mke kazira kutumia gari: Ushauri please

Huyo ni mke au hawara?! umesema alikutumia sms inamaana hamuishi pamoja? na kama mnaishi pa1 ulipomuuliza alikujibu nini?muongozo ndipo nione namna ya kukusaidia.
Ni mke wa ndoa! sms ametuma nikiwa kazini wala sikuhangaika kuijibu maana angeweza kunieleza hilo ana kwa ana. Nakusikiliza Chapaa
 
mie nawasiwasi sio taa tu humuamini na hilo gari mpe uhuru alitumie atakavyo na kama anafundi wake mwachie.
 
Brother mke ni muhimu nakubali lakini kumwonya achukue tahadhari ndio imekuwa taabu. nimeupata ushauri wako nashukuru
yaelekea mawasiliano kti yenu si mazuri na wote hamjuani tabia zenu vizuri.. kuna namna ya kuongea na m2 mzima tena kama mke kumbuka ulipaswa kumpa maelekezo sahihi ya namna gani awe anaparki gari huyo ni mwanamke mambo mengi hawatilii maanani so unaitajika kumpa mwongozo kwa njia nzuri
 
mie nawasiwasi sio taa tu humuamini na hilo gari mpe uhuru alitumie atakavyo na kama anafundi wake mwachie.
Tatizo sio taa.tatizo ni kuwa hayuko concerned na assets zetu, hawajaibiki penye tatizo na mwepesi kuzira. nadhani umenipata vyema.
 
Pana walakini hapo kama wachangiaji wengine walivyo comments. Si bure hapo pana kitu nyuma ya pazia kwani kumkumbusha kutekeleza wajibu wake tu asuse.... Si bure Brother. Babu jinga kaa ufikiri mali zao zinaliwa
 
Hivi huo ni utoot au ujinga? we ukitaka ujue hajazira, liondoe hapo home halafu mwambie umempa ndugu yako! Utaona reaction yake ndio utajua kama kweli kazira.... Ila akishamaliza kuzira umwambie akienda k'koo awe anatoa 500 tu kwa vijana wawe wanamlindia siku nzima, aache ubahili, anakuwa mbahili kama mimi jamani.

Tena namwambia ashukuru wewe unamaadili angekuwa mwanaume mwingine analichukua anaenda kumhonga small house yake, hata kama kuna demu alikuwa anamtaka akawekewa kigezo cha usafiri basi upenyo ndio huo...
 
Hasira nyingi ikiwa ndani ya mioyo yenu ikiukapo moyo huleta hasara msikae vibaya ndani ya nyumbaaa yenu-ishi na mkeo vema nyumbanie jaribu kuvumiliaa hasira muifukuze bwanaaa.-Bichuka miaka hiyooo.Kiukweli yapo mambo mengi yanayoweza kuwa yamesababisha hali hiyo
1.Anaweza kuwa anavitoa vitu maksudi umnyang'anye gari kumbe kashindwa gharama za mafuta na spare .
2.Ana lake jambo huyo fanya upelelezi toka anatoka nyumbani ,kazini na wakati anarudi nyumbani.
3.Anadeka hataki tena aina ya gari hilo anataka umtafutie lingine.
4.Siku ulipomsema hakujisikia vizuri aliona kama unamnyanyasa na gari lako badala ya kumsaidia kutatua tatizo.
Toka nae outing mkae mahali mbembeleze yaishe na akuambie ya moyoni mwake.ukiona hataki suluhu mwache apande daladala na hiyo gari iuze.
 
Mkuu kama una HOUSE GIRL Mfundishe hilo gari ili awe anapeleka
watoto shule na kazi nyingine zinazohitaji gari, halafu kama kuna
litakalotokea njoo tena jukwaani!
 
inaonekana ilitumia maneno makali kidogo....kuna namna fulani ya ka-ubabe fulani unaoendelea kati ya wewe na mkeo...wote inaonekana mud wote mawasiliane yenu ni kwa jazba..at times wanaume tunatakiwa tujishushe kidogo kuepesha mambo kama haya..sio kwamba utaonekana zoba hapana. Ongea nae vizuri mkuu...wakati mwiningine ukitumia sauti ya juu sana ndo huko wanajiona kama wamedharauliwa na kunyanyaswa...mkiendelea na hali hii iko simu utajuta kwanin ulikaribisha ubabe...ataanza kutafuta wakumliwaza na ushukuru mungu kama hajafikia uamuzi huo....chukua tahadhari mapema kabla ya hatari.

nilimwambia mara moja na hiyo topic sijairudia tena hadi leo. na kwa alivyo nikiwa mpole sana ananikanyaga.
 
mwache kwanza asira ziishe. kama biashara yake inaendelea vizuri mshawishi anunue gari lake mwenyewe labda atakua na uchungu nalo
 
Kila kitu kina makusudi yake! Hili tatizo naomba mlitumie kurekebisha tabia yenu ya mawasiliano, manake naona hamna good communication zaidi ya jazba tu na kulaumiana! We UNAMUONYA huyo mwanao/mdogo wako?? Kauli zingine muwe na tahadhari nazo jamani hata kama ni kitu umenunua wewe!!
 
huko ni mpaka kwa order, kila jioni anaumwa kichwa, mara kachoka mara hili mara lile.
Mkuu, kama ulichoandika hapa ni kweli, hilo tatizo la gari ni cha mtoto. Upendo kati yenu ni kama Ghadafi na NTC... Sasa ukiweka order akatae unafanyaje?!
 
Kuna vitu vingine siyo vya kuleta hapa JF. kuna vitu ambavyo vipo ndani ya control ya mwanaume ndani ya nyumba. Hiki ni kimojawapo.
Ok..sikulaumu lakini, labda ulitaka kutuonyesha idadi ya magari uliyonayo. Tumekupata mkuu
 
Mi mwenyewe mtu akinisema sema na kitu chake namsusia. Kama uliamua kumnunulia gari ina maana hiyo siyo yako tena. Kuliko kufanya matengenezo na kuanza kulalamika ungemwacha mwenyewe na angejua afanye vipi.
 
mkuu -- je mmeishi kwa muda gani na haka katabia anako mu mrefu???

cha msingi kaa nae uongee umweleweshe nini anatakiwa kufanya au nini anatakiwa afanye
 
Si kila mke ila inabidi mpewe kitchen party maana inaonyesha conflict nyingine mnazisababisha wenyewe na kujiletea mapresha yanayowapunguzia siku za kuishi duniani.

Ukijua kulinda amani ya familia yako ni for your own sake kwani takwimu zinaonyesha wanaume wana uwezo mdogo sana wa kuvumilia stress.
Ndio maana most of you guys die young.

NK kwani wewe ni kila mke hapa duniani??
 
Unajua kuna wanawake wana shida sana; hata akipata mzinga (ajali) cha kwanza kuwazia ni matusi ya husband; lol; badilikeni bwana mwanamke si mtoto wako ni partner. yaani was treated that way home na kwa mume nipate same treatment.

But if you treat your wife like a child she will behave like one.
 
huyo alikua nakutafutia visa tu ili uanze ww ionekane ww ndio mgomvi
na kama ulivosema anabiashara zake ina mana hashindwi kuweka iyo taa wala iyo side mirror
.............MULIKA MWIZI
 
Back
Top Bottom