Mke kazidi mizaha

Kashakaa na ww muda mrefu kajua we ni kajitu kadhaifu dhaifu boya mmoja tu ndo maana hata ukimwambia kitu hupendi hawezi kukuskiliza
 
Ilipaswa umuulize kwamba ili nisisali uongo nisalivipi? Kwa utaratibu tu. Au Kuna shida umeiona kwangu inakwamisha sala zangu? Ila sio kuona ni mzaha tu
 
Utani usiopitiliza sioni kama shida alafu hivyo vitu vidogo am sure na wewe unamapungufu yako endelea kumpa Muongozo mwenzio
 
Utani usiopitiliza sioni kama shida alafu hivyo vitu vidogo am sure na wewe unamapungufu yako endelea kumpa Muongozo mwenzio
Asante kwa maoni yako, ila huwa namuelekeza na anaelewa ila baada ya muda kidogo anarudia
 
Ilipaswa umuulize kwamba ili nisisali uongo nisalivipi? Kwa utaratibu tu. Au Kuna shida umeiona kwangu inakwamisha sala zangu? Ila sio kuona ni mzaha tu
Tatizo ilikuwa kwa nn afanye vile wakati sijamaliza, angeniacha kwanza nimalize
 
 
Uchungu wa kero au maudhi aijuaye yule anayefanyiwa...

Usimuache kwa hilo...utakuja kuta vimeo mpaka utajuta
 
Asa km ni muongo asiseme??....kwanza mnalingana umri..weye mpoge tu anakuhesabia .... siku akikurudi mangumi hutaamini...
 
Amini usiamini mkeo mpweke.

Oh!, kabla sijaondoka kuna mtu hapa anauliza kama unamfikisha kileleni?.
 
Umepata mke mwema Sana Tena Kama ningekuwa wewe ningekuwa mwenye amani Sana,kufanya mizaa na mke,Safi Sana,Mimi ni Muslim napokuwa na mke wangu Huwa na mizaa mingi Sana,kwakweli huwaa nafurahia Sana

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Ndoa acheni iitwe ndoa jamanii chaaa
duuu asa km ulivo hapo pichani mwakwetu ntaanzia wapi mie kukuudhi???......ukiona nimekujibu shit! Ujue najifanya tu...ukisema tu naondoka roho ni pwaa.tumbo la kuhara.....unatikisa na mie natikisa huku lkn ke mnatuweza sana.
 
Naona lipo lingine linalokukera kwake ukiongeza na utani ndo utaumia zaidi.

Ongea naye.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…