Mke kazidi mizaha

Usipende kuweka moyoni KILA akwambialo mwanamke, hata ukimuacha utopata mkamilifu.
Unaweza ukamuacha huyo ukampata asiye na mizaha wakati wa shida akakukimbia.
Wakati mwingine ni kuwa neutral tu bora lipite
 
Shida inaanzia hapo wewe kutompiga japovibao kadhaa. Kuna watu mpaka nguvu itumike ndio wanaelewa. Mwanamke kuna muda mwenyewe anamiss kupigwa, usimnyime kibao mke wako
Wanawake wanapenda mwanaume dikteta
 
Mkuu Wa Kaya Pole Sana
Ongea Naye Iwapo Ararudia Tena Umpe Leave Aende Kwao Japo Mwezi Mmoja, Maana Inakera, Inasikitisha Hasa Mizaha Inapopitiliza
 
Usipende kuweka moyoni KILA akwambialo mwanamke, hata ukimuacha utopata mkamilifu.
Unaweza ukamuacha huyo ukampata asiye na mizaha wakati wa shida akakukimbia.
Wakati mwingine ni kuwa neutral tu bora lipite
Asante kwa ushauri
 
Ur too serious Bro.Take it easy n relax life is too short your wife is trying to make you Live n enjoy but you dont see her efforts. I can honestly say your the Problem.
Napenda kufurahi, ila wakati alio fanya mzaha haukuwa wakati sahihi, na mara nyingi huwa anafanya mizaha wakati haitakiwi hicho ndicho ambacho sikielewi kwake
 
Mizaha ikizidi inaondoea heshima. Mizaha ifanyike kabla ya kuingia ndoani. Mtoa mada haipati ile heshima ya ubaba ndio maana analalamika
Hili ndilo hasa na sababu ya kuomba msaada wa mawazo
 
Mkuu Wa Kaya Pole Sana
Ongea Naye Iwapo Ararudia Tena Umpe Leave Aende Kwao Japo Mwezi Mmoja, Maana Inakera, Inasikitisha Hasa Mizaha Inapopitiliza
Asante kwa wazo zuri, nilifikiria hii hatua ya kumrudisha kwao japo mwezi mmoja akajifunze adabu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…