Mke kamkimbia jamaa yangu

bado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...
Kumbe mlifosi kupendwa
 
sawa mkuu
 
Haa kumbe maana kuna sehemu humu JF kuliibuka mzozo kuwa dini ndio inaamua ukubwa wa mahari.
Hapana bali muolewaji amepewa nafasi kwenye Uislam kuamua mahali yake mfano mimi naweza kusema mahali yangu ni msahafu na ndoa ikapita
 
Hizi ndoa za uswazi ndivyo zilivyo. Kuoana na kuachana ni kama kununua mboga sokoni. Hakuna cha ajabu. Mwanamke anaweza kwenda gengeni akakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza, kesho yake wiki ijayo ikafungwa ndoa na wiki inayofuata wakaachana. Hakuna kipya!
 
Madini yote yako hapo. Ila bado naendelea kuwaasa vijana. Baki bachera milele utaishi miaka mingi
 
mwambiye apige mishe ajiongezee kipato aache kufatilia mwanamke
 
Amuache aende tu, huyo ni mke kausha damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…