Mke kamkimbia jamaa yangu

Niliwaza tofauti, asante kwa ushauri huu nikiingia kwenye ndoa ntauzinhatia.

Kumbe ilikua ishu ndogo sana, assee
 
Huyo mwanamke alikuwa anatafuta tu sababu ya kuondoka kwa jamaa, pengine kabla ya kuolewa alikuwa na matarajio makubwaaa kufika ndoani kayakosa........... . Serious kabisa mtu na akili zake timamu unanuna eti kisa nyama?
 
jamaa hajalia lkn ana stress tu,si unajua mapenz tena hayachagui umri,afu jamaa angu ni wale good guy akipenda anapenda
 
NYAMA YAVUNJA NDOA... sasa unaoa mtoto mdogo aiseelewa kuna kukosa unategema nini.. mpe pole jamaa ila huyo mtoto hakuwa tayari kusettle kwenye njaa alliitaji mtu aliejipanga na kujikamilisha
jamaa njaa wala yuko vizuri tu,na sio hakuwa na uwezo wa kununua hiyo nyama ni vile gari letu tulobebea mzigo lilikwama njian ko tukachelewa kufika Town ko mda wa kutuma mboga home ukawa umetait
 
Mwambie huyo jamaa kwamba, dem ana jamaa mwingine ndio maana kaanza visa.
Na possibly huyo dada alishaanza ku regret kuolewa wakati bado yuko kwemye peak. Anaona ndoa inambana ndio maana analeta vi sababu vya kiwaki.
asante
 
Si mahari huwa inarudi ama?

Usukumani huku huwa tunarudishiwa mahari...
huku mjini sasa watu hawataelewa,huko si mnatoaga ngombe ,sa huku hela tu ko ishaliwa ishaisha utaidaije tofaut na huko ngombe zipo unaenda kuswaga tu
 
Kabila halina nguvu mbele ya dini usiwasingizie wasukuma. Mkuu huyu sio rafiki yako bali ni wewe maana unajua kila details aiseee.

Oa tu mwingine pale umeshapata hasara
mi na jamaa ni kama ndugu yangu,,na tumetoka wote mkoa mmoja,tulikutana nae chuo apo udsm na tulikaaga geto moja,baada ya chuo hatukurudi mtaan tulipambana hapahapa hadi leo hii,ko chake ni changu changu ni chake.umeelewa hadi hapo,
 
Aachane kwanza Jamaa asioneshe kutetereka kabisa
Kwa kifupi awe kama vile alivokuwa na mwanzo asioneshe kuwa bila huyo dem hawezi kuishi
Akifanya hivoo tuu kwa mda hata miezi miwili Ataamua mwenyew amrudishe, asioe au aoe mwingine
Maana hajatoa taraka Badoo
 
Hahaha hii ni kweli kabisa, kuna kipindi nilkuwa na demu moja la singda, yule demu alkuwa anapenda nyama si mchezo, asipokula nyama baada ya siku 2 ni minuno hapo ndani

Ukimpgia simu apike kitu simple kama tambi, ukifka getto unakuta kajilaza wala hajapika wala hana mpango

Mademu wa singida-wanyiramba huwaambii kitu kuhusu nyama
 
Alipenda sura na mwili au Tabia njema na nidham.

Ikiwa alipenda sura na mwili amuombe msamaha kwa kumpiga vibao vitatu tu yaishe.

Ikiwa alipenda tabia na nidhamu amwandikie talaka haraka aende zake. Tabia haina dawa mpaka mhusika mwenyewe aamue kubadili baada ya kujitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…