jibu sahihi.Tatizo alioa Singida...
Huwa hawatuliagi wanawashwa...
Kwa hiyo age miaka hii wanakuwa hawana akili ya maisha bado wadogo kiakili ingawa kimwili wameshakomaa.
Ni vema kijana atumie busara ya kumuelekeza taratibu kwa mahaba ataelewa haraka zaidi. Kwa umri wake yeye anatakiwa kuwa na experience ya akili za mabinti zina operate vipi ili aende nae kwa timing (ndio kuishi nao kwa akili kwenyewe).
Mambo madogo madogo kama hayo wala asiyape kipaumbele kwenye kichwa,mtu umerudi hajapika why ugombane nae,muamshe mwambie twenzetu tukatafute chakula my love ntazimia kwa hii njaa,fanya utani kabisa ila ndani ya nafsi yako unamuamsha na kumsumbua ili kesho ajue asipopika basi utamuamsha usiku mkatafute chakula.
Haina haja ya kugombana ataenda kuna umri atafika utaona automatically anaanza kuwa serious na mahusino yenu.
Hawa wa siku hizi hawapitishwi mafunzo ya unyago kuwaandaa kwaajiri ya ndoa tunaoa mabinti wamevurugwa akili hawapo serious na maisha wanamizaha mingi.
sa nne usiku akatafute chakulaKwa hiyo age miaka hii wanakuwa hawana akili ya maisha bado wadogo kiakili ingawa kimwili wameshakomaa.
Ni vema kijana atumie busara ya kumuelekeza taratibu kwa mahaba ataelewa haraka zaidi. Kwa umri wake yeye anatakiwa kuwa na experience ya akili za mabinti zina operate vipi ili aende nae kwa timing (ndio kuishi nao kwa akili kwenyewe).
Mambo madogo madogo kama hayo wala asiyape kipaumbele kwenye kichwa,mtu umerudi hajapika why ugombane nae,muamshe mwambie twenzetu tukatafute chakula my love ntazimia kwa hii njaa,fanya utani kabisa ila ndani ya nafsi yako unamuamsha na kumsumbua ili kesho ajue asipopika basi utamuamsha usiku mkatafute chakula.
Haina haja ya kugombana ataenda kuna umri atafika utaona automatically anaanza kuwa serious na mahusino yenu.
Hawa wa siku hizi hawapitishwi mafunzo ya unyago kuwaandaa kwaajiri ya ndoa tunaoa mabinti wamevurugwa akili hawapo serious na maisha wanamizaha mingi.
uchungu wa mahari bado haujapoa tulitoa mil 2 cash na bado tunadaiwa.
shukurani brooUnder 25 demu anakua na option kibao hata awe pisi mbovu.
Kwa stage hiyo jamaa ajifunze kuishi bila huyo mkewe, la sivyo tutarajie makubwa zaidi ya kuondoka nyumbani.
Na pia hawa mamanzi wadogo wadogo ukiwaoa hebu jaribu kuwazoesha life unalolimudu kwanza, hizi za kuacha kodi ya meza kubwa ndo inavunja ndoa za watu, hawa mabinti wakikupenda huwa wanakubali kila kitu em muweke kwenye angle ya kutokufilisi.
Kujimwambafy kunawaua wengi.
Enewei ai wishi yu gudi laki.
Kuepuka stress za hivo basi ndgu yetu Liverpool VPN ana ushauri mzuri tu USIOE.