kibenten
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 499
- 507
Nina rafiki yangu dam dam kaoa mwaka huu mwezi wa pili,ndoa ya mkeka ya kiislam,kabla ya kuoana walikuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili.
Sasa jana umetokea ugomvi mdogo kisa mke alitaka jioni wale nyama na jamaa hakuagiza boda kupeleka iyo nyama ili ipikwe jioni.maisha yetu ni haya ya uswahilini katika hili jiji la Amos.
Sasa jamaa angu kabla ya haya mambo kutokea asubuh alikuwa amemwachia elf tano kwa ajili ya mboga tu maana kila kitu kipo ndani.sasa jamaa alimwambia kuwa nyama nimegairi tumia hiyo efu tano nilokwachia asubuh ununue mboga yoyote tule jioni mke hakumjibu chochote akakata simu.kufika usiku jamaa alirudi sa nne ana njaa ya atar kakuta mke kalala hajapika chochote jamaa akamaindi akamchapa kofi tatu tu.
Asubuh mapema jamaa huwa tunaenda nae kigamboni kufata mizigo ko alimwacha wife kalala,sa nne kakuta sms mke anasema KWAHERI NITUNZIE NGUO ZANGU UKIONA ZINAKUUDHI ZICHOME MOTO.
Kumpgia hapokei simu hata mi nkampigia hapokei simu yangu.
Ndo jamaa akawa anasema hii inshu ya kukuta mke hajapika imetokea mala mbili hii ni mala ya tatu sasa,na hizo siku zingine alikuwa anamuonya kwa maneno mke hasikii,,,
Tumepiga simu ukweni mama mkwe anasema hajamuona wala ndugu zake kwingine haonekani huko.
Leo mida ya sa nane kanitumia mimi sms anasema yupo kwa shoga yake ametoka kukata tiketi ili kesho aende singida kwa bibi ake eti hataki maisha hayo.
Jamaa hakawahi kumpgia jana ndo ilikuwa mala ya kwanza na anampenda kinoma uyu shemu.
shem ni under 24 jamaa ni 30s.
JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE JUU YA HILI KEJELI SITAKI KAMA HUNA USHAURI TULIA.
(Samahanini kwa uandishi mbovu,mi nilivokuwa shule nilikuwa science pure so masuala ya imla,insha,nomino sijui vishaz tegemeo sivijui)