..wasiwasi wake ni itakapogundulika mimba siyo yake..Yeye alipo-confess si amesamehewa?! Sasa anauliza nini wakati mfano keshaonyeshwa...! Ukijua wewe ni mwepesi wa kutapika/ una kinyaa usimchunguze sana mamantilie... Omba msosi, kandamiza, sepa. Ukimchunguza mama muuza hutakula. Yeye alijua my wife wake ni malaika??? Atulize boli tu, ngoma iko droo hiyo...
.... kuna jamaa ...alikuwa hajatulia, .....aliamua ku'confess' mabaya yote..mke wake alimsamehe na kumuahidi upendo ilimradi tu yasijitokezee tena....
... mkewe ku'confess' ....aliamua kutembea na jamaa yake wa zamani baada ya kuona mshkaj anamzingua....Amemuomba mume wake wasameheane waendelee kama kawaida..
Nimekusoma mkuu...Kwa haraka haraka matokeo ni 1 - 1 = 0.. yaani ngoma droo... tena kikubwa mimi kama refa naweza kukataa goli la jamaa yako kwani mkewe alifanya dhambi baada ya kushawishiwa na tabia chafu ya mume wake.. naweza kumpa credit mke..
Kikubwa..wakubali maisha ya kitoto yamepita..Sasa..movie ya maisha ya kweli ndio inaanza.. waende Hospital kupima afya zao..kama wazima wakubaliane kufunga kufuri zao.. wakubali kulea mtoto bila kupima DNA.. "kitanda hakizai haramu"
Pia mwambie huyo jamaa yako si vizuri kumtendea mke mambo mabaya halafu ukategemea yeye abaki kama alivyo..mke ni binadamu kama wewe na ana-feelings kama wewe..Alichopata ni mshahara wa dhambi zake..