Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Lakini tuache utani nakutakia kila la kheri kwenye hili zoezi ulilo nalo sasa,tunakuombea upate mke mwema,Hatuwezi kaka zamani itabaki kuwa zamani,sisi digital tena kizazi kilicho laniwa,usishangae kuona mtoto mdogo miaka 15... Lakini ana wanume ambao hiwezi kuamini kama kweli yeye ndo anamiliki,lakn yote kwayote,tunapaswa kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
Ukimpata utupe taarifa.
Ukimpata utupe taarifa.
kwani we upo single tinna cute?
na kadi za mwaliko pia!
Yeah! niko single but occupied with 5men.
na kadi za mwaliko pia!
Awe mwalimu au nesi yani Amesomea na ameajiliwa,umri 18-23,mweupe sio wa mikorogo,mkristo,awe anatokea mkoa wa Mbeya,mwembamba wastani,mrefu angalau ft 5.4na kuendelea awe mzuri wastani,ukiwa mzuri sna utanipa presha.na ajue kwamba hata jutia hata siku moja kuwa na mm,call 0766228346
.God bless me for this
awe ametokea mbeya halafu awe mweupe? labda weupe wa mkorogo
Awe ametokea mbeya halafu awe mwembamba? Labda awe na ngoma
awe ametokea mbeya halafu awe mweupe? labda weupe wa mkorogo
kwi kwi kwi mashart na vigezo vikizingatiwa sana mtu hachelewi kujichumia janga