mke haraka anahitajika mwenye sifa hizi

mke haraka anahitajika mwenye sifa hizi

BASANORARE

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
313
Reaction score
265
urefu 165cm
uzito 65kg
shoe size 40
face roughnes 0.35
echo 0.98
hips size 50
power factor 0.98
mbahili
mcheshi
elimu diploma na kuendelea
kama una sifa hizo drop e mail tu mkubwabattle@yahoo.com
 
Una matatizo ndugu.
Unadhani ni gari lile au kiwanja uweke hadi vipimo?
Wake up and Grow up!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahhahaha utapata kaka vigezo hivyo mh na wwe jee vyako

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mimi nina sifa izo, ila nami nina vigezo vyangu, natafuta mwenye masikio marefu kidogo, uso mwembaba ila sio mrefu, jicho moja liwe kubwa kidogo kuzidi lingine, asiwe na kitambi ila awe mnene, mwenye nywele ndefu ila laini sana kama za mtoto mchanga, asiwe mweupe, mweusi au wa brown ila rangi yoyote iliyotofauti na hiyo, awe na moyo wa kupenda kila binadamu but no concubine game aiseee...... 4m there nafikiri twaweza kuelewana, vp we unazo hizo?
 
Hizo hips size ni mm, cm, ft, inch or what?
 
Una matatizo ndugu.
Unadhani ni gari lile au kiwanja uweke hadi vipimo?
Wake up and Grow up!

kwani ww unataka mtu aje kama kiroba hapa na pia ukisikia sifa jua unapunguza idadi ya watu
 
hips ni inch madamex

zingine ninazo lkn zingine nakosa nameless girl

kuhusu sifa zangu drop email utajibiwa ila kumbuka uwe umezaliwa tarehe 30 mwezi wa pili
 
Kwenye mapenzi kama ndo unatafuta kwa staili hii mkuu jiandae kulamba garasa.
Sidhani kama utapata wa staili hii ambaye amekamilika kwa vipimo vyako halafu akawa anakuvutia kwa baadhi ya hulka.
Hii sijawahi kuiona bado duniani hapa na kama ukipata niambie nije kuwa first witness to that.
Mapenzi yana mambo mengi mkuu unless you want to live nchi ya kusadikika

Una matatizo ndugu.
Unadhani ni gari lile au kiwanja uweke hadi vipimo?
Wake up and Grow up!

kwani ww unataka mtu aje kama kiroba hapa na pia ukisikia sifa jua unapunguza idadi ya watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom