Mke graduate

Ahahahahhahahh mtoa mada yamemkuta

binafsi elimu syo kioaumbele cha kwanza cha mapenz
 
Mleta mada hacha generalization inaonyesha umekariri maneno ya wazee kuhusu elimu basi ukiwa na mwanao usimpelekee shule vingi ulivoongea hata changu hawezi kufanya hadharani inaonyesha unataka mke umpande kichwani umuonee kwa vile huyu ni msomi umeshindwa kumpelekesha ukitaka wa kumpanda kila mahali ili uonekane mwanaume oa asiye jua kusoma kabisa
 
Ushauri: Usikimbilie kuoa mwanamke graduate wakati wapo kibao form 4, na certificate kwani huenda utajipunguzia siku za kuishi kwa mawazo, maana mwanamke graduate omba asipate kazi, akipata ujue na yeye anaota ndevu, humwambii kitu.

Unaongea kama una 'mkataba' wa kuishi milele...ukifa je na mna watoto!?
 
Hii dalili ya kutokujiamini.Utatishwaje na elimu ya mtu?labda kama kungekua na degree au masters ya mahusiano ilihali we huna lakini izi zingine zinakutishaje mwanaume?
 
Ndiyo maana nikasema MWANAUME wa ukweli.

Mzee achana na misemo iyo...rudi in reality...asilimia kubwa ya ndoa za wasomi ni shida....m ni mmoja ya wasomi....na nmedate wanawake weng tu wasomi kuna siku le mbebez ashanambiaga wanaouting its ladies nite so nimwache aende club na mashost zake...nkamruhusu bt as a men tayar nlishampunguzia maksi za kuwa mke
 
Hii dalili ya kutokujiamini.Utatishwaje na elimu ya mtu?labda kama kungekua na degree au masters ya mahusiano ilihali we huna lakini izi zingine zinakutishaje mwanaume?

Mzee kuoa ni zaid ya mahusiano mkuu....inafika kipind ulivyo navyo vinatumika kuleta heshima...oa mke alokuzid elimu uone!!!
 

kitu nachokiona kwako ni uoga na kutokujiamini,ninao mfano mzuri sana ambao ni mimi mwenyewe.wakati namuoa mke wangu nilikuwa na elimu ya form 6,yeye akiwa na degree ya ualimu.baada ya kuoa mimi ndo nikaanza open univerity,mdogo mdogo na hatimaye nikamaliza.sijawahi kuona dharau wala nini,naona umetendwahuna njia ya kujitetea ndo umekuja jf kujiliwaza.kwa sasa tuna watoto 2 na maisha yanaendelea kama kawaida.mimi ndio mwanamme katika familia,baba wa familia na mume wake.alilitambua hilo hata kabla ya ndoa pale kanisani na ndivyo ilivyo hadi leo hii.acha uoga,acha kujidunisha,acha kujidhalilisha.inaonekana ulikutana na gumegume maslahi likakutosa we ukadhani ni kwa ajili ya elimu.tena wangu ni mwalimu
 
Mzee kuoa ni zaid ya mahusiano mkuu....inafika kipind ulivyo navyo vinatumika kuleta heshima...oa mke alokuzid elimu uone!!!

Mi ni mwanamke.Ningekua mwanaume isingetisha .
 
Mwanamke ni mwanamke tu, awe ana Elimu ya chuo, sekondari, msingi au chekechea atabaki kuwa chini ya uongozi wa mwanaume ndani ya nyumba. Kinachotakiwa uwe mwanaume wa ukweli tu.

hapo umenena
 

Hi nimeipenda.
 
Mzee kuoa ni zaid ya mahusiano mkuu....inafika kipind ulivyo navyo vinatumika kuleta heshima...oa mke alokuzid elimu uone!!!

exactly!!!
mbona hata wenyewe wanasemaga hapa, na hii ni kwa dunia yote
 

Huwa wanadanganya au huwa wajifariji kwani wakati huo wanakua hawaja pata kidume alietayari kuwaoa hakuna mwanamke asiependa heshima ya ndoa labda makahaba pekee kwanu wamekata tamaa ya maisha.
 
....mi ni mmoja ya wasomi....na nmedate wanawake weng tu wasomi kuna siku le mbebez ashanambiaga wanaouting its ladies nite so nimwache aende club na mashost zake...nkamruhusu bt as "a men" tayar nlishampunguzia maksi za kuwa mke

Tujuze mkuu umefikia kiwangogani cha kisomi?
 
Mkuu Eli79 njemba imekutana na changudoa mmoja mwenye degree basi anataka kuwaweka wanawake wote wenye degree kwenye kapu la uchangu doa.


Hata mie hiyo generalization sikubaliani nayo hata !
 
Last edited by a moderator:
Hivi unahitaji heshima wakati huna unachonizidi... wasomi watakusumbua kma mwanaume ujielewi alafu maisha ni mipango kuwa na mipango mwonyeshe mkeo kuwa unaweza si umekaa lege lege hata mimi nakuacha tena kwa sherehe kubwa

hili vijana wengi hawalijui

eti mke hana cha kujisifia kwako, atakuheshimu kweli!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…