mi nikionaga hali fulani huwa najidai "mama wewe kaa hapo mbele mimi nikae huku na watoto, watakusumbua" wakati watoto wangu huwa wanajikaliaga peke yao nyuma na wala hawana shida.
kuna wamama wanaona ni haki yao kukaa mbele kwenye gari la watoto wao. Ukweli mimi hainipi shida kukaa sehemu yoyote, kwanza napendelea siti ya nyuma ili nishangae vizuri, maana hakuna ku co-drive, lol
mi nikionaga hali fulani huwa najidai "mama wewe kaa hapo mbele mimi nikae huku na watoto, watakusumbua" wakati watoto wangu huwa wanajikaliaga peke yao nyuma na wala hawana shida.
kuna wamama wanaona ni haki yao kukaa mbele kwenye gari la watoto wao. Ukweli mimi hainipi shida kukaa sehemu yoyote, kwanza napendelea siti ya nyuma ili nishangae vizuri, maana hakuna ku co-drive, lol
Nimecheka mno..!!
Ni kweli mke anastahili kukaa mbele, lakini wamama wakwe wengine wanaona kama kukaa nyuma kwenye magari ya watoto wao ni kutokuheshimiwa. na hasa kama mke upo. hapa namaanisha anajiona yeye ni bora kwa mwanaye kuliko wewe. utakuta mama huyo huyo kama mke hayupo kwenye gari, labda mume anatoka na ndugu zake tu na yeye atakaa nyuma na wala hatajisikia vibaya............................ ni kuwasoma tu na kuwaelewaMkuu Fixed Point umeongea point kubwa sana. Wake wengine huridhia mama mkwe, baba mkwe, shemeji, wifi na hata rafiki akae mbele. Ukiridhia hakuna tatizo ila kama mke anataka kukaa mbele basi anastahili kukaa mbele.
hawa wamama ni vizuri tukiwa-handle with care.............. tunawahitaji ili kuwa na amani katika familia zetusame here
Ni kweli mke anastahili kukaa mbele, lakini wamama wakwe wengine wanaona kama kukaa nyuma kwenye magari ya watoto wao ni kutokuheshimiwa. na hasa kama mke upo. hapa namaanisha anajiona yeye ni bora kwa mwanaye kuliko wewe. utakuta mama huyo huyo kama mke hayupo kwenye gari, labda mume anatoka na ndugu zake tu na yeye atakaa nyuma na wala hatajisikia vibaya............................ ni kuwasoma tu na kuwaelewa
hivi kama wewe ni mume na umekutana na hiyo situation utaweza kuamua nani akae mbele? kama namuona mume wangu, najua hapo ambacho angefanya ni kuzima gari na kuwahi kitandani, hatasema na mtu...Hilo ni kweli kabisa FP, hata mawifi/mashemeji nao mara nyingi hutaka kukaa mbele kwa kudhani kwamba kukaa nyuma ni kudharauliwa. Kama mke anaridhia kukaa nyuma hakuna tatizo ila tatizo linakuja pale ambapo wote (Mke/Mama Mkwe) wanataka kukaa mbele. Hapa mume inabidi aamue ni yupi kati yao akae mbele.
hivi kama wewe ni mume na umekutana na hiyo situation utaweza kuamua nani akae mbele? kama namuona mume wangu, najua hapo ambacho angefanya ni kuzima gari na kuwahi kitandani, hatasema na mtu
wapo sana wamama wa hivyo, atatafuta kila sababu ili uonekane umemkosea heshima. nakuambia mume wangu wala hatasema na mtu, kama hiyo safari ni ya maana sana kwenu basi mmoja ataendesha mwingine atakaa siti ya mbele, ngoma droo, wote mmekaa mbele na mpo peke yenu...Mke anastahili kukaa mbele, mama najua atakasirika lakini nitatafuta muda wa kuongea naye ili kumuelewesha....au kama gari bado ina nafasi ya kutosha nyuma basi wote watakaa nyuma.....mama wengine mhhhhh! wanaweza kuamua kuvunja safari ya huko waendako kisa kaambiwa akae nyuma.
wapo sana wamama wa hivyo, atatafuta kila sababu ili uonekane umemkosea heshima. nakuambia mume wangu wala hatasema na mtu, kama hiyo safari ni ya maana sana kwenu basi mmoja ataendesha mwingine atakaa siti ya mbele, ngoma droo, wote mmekaa mbele na mpo peke yenu
wewe tena usiombe kukutana na huyo mama vuruguvurugu, hali itakuwa mbaya......................... kuna wamama hawajui mipaka yao, wao wanadhani ni watawala kila wanakoenda. kila siku naimbaga na mama yangu, chonde chonde, huyo mdogo wetu akioa usilete drama kwenye familia yake............ sisi mawifi ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa, yaani tunamsubiri huyo wifi kwa hamu tum-spoil, lol!hivi lakini aghr...sikatai jamani mama ni mama yaani hilo halina ubishi...ila sasa hata kwa suala their sitting position in a car? kama anajiheshimu ataenda siti za nyuma...kwani kwa mfano wewe mwanaume mzee wako ana gari,mama yako atakubali mtu mwingine akae mbele? anyway, it depends. ila mama mstaarabu ataacha mke wa mwanaye akae mbele kwasababu kwenye territory ile mkeo ndiye queen...mama yako ni queen kwingineko, hawezi kutawala kuwili, so wenye busara hawaleti shida
on then other hand nakubaliana na point ya fixedpoint maana wamama wengine bana vurugu vurugu tu
yaani hapo BAK huyo mama anachokitaka ni mwanae tu athibitishe nani bora kwake, sasa kwa kukwepa kumuweka mume kwenye hiyo position ni bora kujipanga mwenyewe... maana akimchagua mama moto utawaka na akikuchagua wewe amani ndo inaishia hapo, lol!...Hiyo nayo ni solution nzuri sana...kumuachia funguo mke au mama aendeshe na hivyo mume kukaa nyuma na wao wakakaa mbele. Wamama wengine kwa kutaka kuzua kasheshe hata pale ambapo haistahili ndio wenyewe.
yaani hapo BAK huyo mama anachokitaka ni mwanae tu athibitishe nani bora kwake, sasa kwa kukwepa kumuweka mume kwenye hiyo position ni bora kujipanga mwenyewe... maana akimchagua mama moto utawaka na akikuchagua wewe amani ndo inaishia hapo, lol!
Fanya ufanyavyo wote wana haki ya kukaa mbele!
Ni kweli mke anastahili kukaa mbele, lakini wamama wakwe wengine wanaona kama kukaa nyuma kwenye magari ya watoto wao ni kutokuheshimiwa. na hasa kama mke upo. hapa namaanisha anajiona yeye ni bora kwa mwanaye kuliko wewe. utakuta mama huyo huyo kama mke hayupo kwenye gari, labda mume anatoka na ndugu zake tu na yeye atakaa nyuma na wala hatajisikia vibaya............................ ni kuwasoma tu na kuwaelewa