Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Kama ametoa mahari si Ndiyo ndoa ya kimila hiyo? Maana kimila wao wapate chao kama ni ng'ombe, au pesa, pombe na vikorombwezo vyake basi huyo ni mkeo halali kimila.
Wewe anza kufatilia sasa kimya kimya hakuna cha kupona, zidisha tu upendo huku unachimba kuanzia kwenye mawasiliano yake na rafiki zake humo humo utamnasa tu
Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Yupo ndugu yangu mumewe ni mkorofi sana, lakini akishabeba mimba anamtreat kama malkia, kila atakacho jamaa anakifuata. Hivyo nakubaliana na wewe Mkuu.