Mke atoa mimba

Mke atoa mimba

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,789
Hell

Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?

Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
 
Ulivyo muuliza yeye kakujibuje??

Every thing happen for a reason.

Muulize Kwanza, ujue sababu ni nini kisha ulete merejesho.

Btw kulipa mahari, hakuhalalishi ndoa. Ndoa ni either mfunge kanisani, msikitini au kimila.
 
Hell

Hivi unaweza vumilia hili swala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?

Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
Usimchukulie vibaya kama ni bingwa wa kutoa we mpachike nyingine usione huruma
 
Hell

Hivi unaweza vumilia hili swala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?

Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
Labda kaona huyo tuu wa kwanza matunzo yake kipengere je huyu wa pili?!!!
 
Back
Top Bottom