Mke anazingua, nahitaji mwanamke mwenye tabia zote mbaya

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,883
155,859
Nina mwaka wa kumi sasa kwenye ndoa. Nilifunga ndoa ya Kikristo miaka kumi nyuma.

Nimekuwa mume bora kwa kipindi chote hicho. Sikuwahi kuchepuka wala kudanganya, lakini mke wangu amekuwa akinisingizia mambo ya ajabu kabisa.

Wadada wote wa ofisini amekuwa akiwapigia simu na kuwatukana sana, Hadi nimekuwa kituko na gumzo ofisini, kisa wivu wake wa kimapenzi.

Sasa usiku huu mnamaanisha imekuwa Ni kasheshe, ananituhumu kutembea na mke wa Mchungaji.

Sasa kwa moyo mmoja, nimeamua kutafuta mwanamke mwenye tabia zote mbaya. Mtukanaji, mvuta sigara na bangi, awe ni mtu kulewa, anywe hata ngumu kumeza, yaani awe chakaramu kabisa.

Namuhutaji wa hivyo, nitampa chochote anachotaka kilicho ndani ya uwezo wangu.
 
Nina mwaka wa kumi sasa kwenye ndoa. Nilifunga ndoa ya Kikristo miaka kumi nyuma.
Nimekuwa mume Bora kwa kipindi chote hicho. Sikuwahi kuchepuka wala kudanganya, lakini mke wangu amekuwa akinisingizia mambo ya ajabu kabisa.
Wadada wote wa ofisini amekuwa akiwapigia simu na kuwatukana sana, Hadi nimekuwa kituko na gumzo ofisini, kisa wivu wake wa kimapenzi.
Sasa usiku huu mnamaanisha imekuwa Ni kasheshe, ananituhumu kutembea na mke wa Mchungaji.
Sasa kwa moyo mmoja, nimeamua kutafuta mwanamke mwenye tabia zote mbaya. Mtukanaji, mvuta sigara na bangi, awe ni mtu kulewa, anywe hata ngumu kumeza, anipeleke kwa Mpalange, yaani awe chakaramu kabisa.
Namuhutaji wa hivyo, nitampa chochote anachotaka kilicho ndani ya uwezo wangu

Miaka 10 alafu hakuelewi🤔🤔🤔 embu fanya kweli
 
Mwe si bora ujikalie zako pembeni tu. Yanini kujikomoa
 
Huyu best wako Madam B angekufaa sana tatzo kahama sikuhizi cjui yupo wapi
 
Sometime tujipeleke tu hospitali kupima magonjwa ya akili tusisubiri hali iwe mbaya.
 
Aisee maajabu hayaishi dunian itakuaje sasa kwa mke ulie nae utamwacha na kuoa mwenye tabia mbaya? Nakushauri tafta suluhu kwanza kabla ya kuoa
 
Nina mwaka wa kumi sasa kwenye ndoa. Nilifunga ndoa ya Kikristo miaka kumi nyuma.
Nimekuwa mume Bora kwa kipindi chote hicho. Sikuwahi kuchepuka wala kudanganya, lakini mke wangu amekuwa akinisingizia mambo ya ajabu kabisa.
Wadada wote wa ofisini amekuwa akiwapigia simu na kuwatukana sana, Hadi nimekuwa kituko na gumzo ofisini, kisa wivu wake wa kimapenzi.
Sasa usiku huu mnamaanisha imekuwa Ni kasheshe, ananituhumu kutembea na mke wa Mchungaji.
Sasa kwa moyo mmoja, nimeamua kutafuta mwanamke mwenye tabia zote mbaya. Mtukanaji, mvuta sigara na bangi, awe ni mtu kulewa, anywe hata ngumu kumeza, anipeleke kwa Mpalange, yaani awe chakaramu kabisa.
Namuhutaji wa hivyo, nitampa chochote anachotaka kilicho ndani ya uwezo wangu
Tembelea tu ambiance utapata bila shida
 
Safi sana Bujibuji kama mbwai mbwai.
 
Back
Top Bottom