Kwa vyovyote huo uke utakuwa na ukubwa wa mfuko wa Rambo!
Kinachonitisha zaidi ya huo uchafu, ni ibada zinazoambatana na hizo Imani. Tunaambiwaje, tu kila kilichotolewa sadaka tunakuwa tumefungamana na huyo aliyetolewa sadaka. It is scary!Yaani baada ya kusoma hii nilikuwa nakula vitu hapa nimevitapika vyote! Naona kama vina ndumba hivi! Tabia za kulakula bila mpangilio wakati mwingine zinatufanya tumeze vitu ambavyo hata hatuvijui au kuviagiza tulishwe navyo. Kisa kuchochea biashara
Hii nilisikia zamani kiasi kuwa wanachukua ki-dagaa wanakichungulisha mule ndani halafu wanakukaangia pamoja na dagaa wengine.
Hii ni kabla ya Wabongo hawajaanza mambo ya kwenda chumvini, nadhani siku hizi hawana haja ya kutumia hizi dawa.
Kinachonitisha zaidi ya huo uchafu, ni ibada zinazoambatana na hizo Imani. Tunaambiwaje, tu kila kilichotolewa sadaka tunakuwa tumefungamana na huyo aliyetolewa sadaka. It is scary!
Jamani WANAUME mnalishwa uchafu bila kujijua.. Poleni sana. Itabidi sasa muwe mnaonyesha malavidavi muda wote kwa mkeo kuepuka ndumba coz hao hawawez kufanya hivyo bila sababu, may be mwanaume alikuwa kicheche au amepunguza mapenzi kwa mke (but sio wote wanatumia hiyo sababu wengine basi tu ili wawatawale waume zao wawafanye mazoba tu) hii kitu haipendez kabisa kumbuka kuwa mapenzi hayana dawa, dawa ni wewe mwenyewe theway utakavyo muhandle mume/mke.
Huwezi ita uchafu per se kwani:-
1: hujui kwa hakika kama mumewe anapaona ukeni kwa mkewe kama ni pachafu (huenda ana m-lick huko).
2: nyama ikishapikwa tayari germs zinakufa, so bado ni salama kwa matumizi ya binadamu.
Hoja ingekuwa juu ya ushirikina, maana hizo instruction uwezekano mkubwa zimetoka kwa mganga wa kienyeji so rituals zahusika hapo.
Ahhh jamani!!! Me sioni kama anakula uchafu ikiwa chumvini anaenda kila anapomgegeda huyo mkewe. Tatizo la hapo ni hiyo issue ya kumloga tu. Ndumba noooma yani dem hajiamini mpaka akaloge. Lol.
Ha ha. Siku hizi wanaume wanakula limbwata wenyewe.
Hii kali
mh!ngoja wenyewe waje!
tatizo ni ukame wa malavidavi au mama hajiamini? Na nduma sasa zimekuwa msumari wake wa mwisho?