Mke anapomuhama mume chumban..!

Du snowhite umenikumbusha hata mke wangu akitandika kitanda hataki ukilalie utafikiri ni show ya Guest hata wakati wa kulala utangulie kukaa ndio upandishe miguu kwa heshima.
Mimi na mwanangu ni kujitupa saa yoyote, siwezi kuzuiwa kama chumba ni kimoja (sitting & bedroom) eti wageni wataingia.
Kufikisha mtoto wa pili du akachoka mwenyewe maana mkubwa ni sarakasi na mdogo ni kushusha / kuzivunja glasi kachoka sasa kulalama na kushtaki kushney mm ni kununua mpya na mashuka
Hawa mashost ni wachanga kwenye Ndoa au uchumba bado

ah mi wananiudhi bana!
hujakaaa miezi miwili oh binti karudi nyumbani kisa mume anang'ang'ania remote ya TV!
KUMBAF!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom