Mke anapomuhama mume chumban..!

Dah! Hii ni kali! Lakini sasa kuhama room ndio kumpa mume likizo ya mafunzo, kumhalalishia game za nJe, au?
 
Kumbe na wewe ushaoza wengi kama mie? Kina mama mnaambizana "baada ya kikao cha send off tukutane dakika chache tujadili maandalizi ya kitchen party". Ha ha haaaaaa! Eti mbu wa Msimbazi!

ah mi wananiudhi bana!imagine vile vikao vya ijumaa,mtu umechoooka una mideadline kibao ofisini,na wiki ndo ishaisha ,foleni kibao,akini huendi kwako huyoooooo Msimbazi kwenye kikao!basi mbishanee weeee mkishamaliza cha sendoff mnakaa pembeni mwendeleze cha kirchen party,basi mnakaa tena !na nafkiri unafahamau mbu wa Msimbazi walivo makini!lakini ndo upendo wa Agape tena!tunajitutumua weee!mpaka vikao vinaisha!send off yenyewe ni Alhamis utajijua mwenyewe unatoka kazini sa ngapi unaenda kwenye party.hapo jumapili ndo ulienda kwenye kitchen party home hata kufua hujafua na jumamosi yake ndo harusi na shogako ndo kashaomba umsindikize tena ukweni!
hujakaaa miezi miwili oh binti karudi nyumbani kisa mume anang'ang'ania remote ya TV!
KUMBAF!
 
Mamito umemaliza yote!
 
na huyo mwanamke naye anayajuwa mapungufu yake? Maana tukianza kukimbiana kwa mapungufu yetu hakuna atakayekaa na mwenza. Maana utamkimbia kwa uchafu wake naye atakukimbia kwa mdomo wako. Huyo mama anatakiwa ampokee mumewe kwa shida na raha
 
Jamaa namfahamu kama ndio anafanya hivo basi amepunguza siku hizi,wakati yupo bachela alikua anaingilia dirishani funguo alishapoteza,analala na viatu so huyo dada amshukuru mungu kwani jamaa anapona sasa.
 
Ndoa ina raha na karaha, na makosasa madogo2 hucyoyategemea yanaweza yakaiweka ndoa ktk wakat mgumu au kuivnja kabsa. Nije kwenye point ilonileta jamvin...
Bishost kamuhama mumewe chumban kwa madai kwamba mumewe mchaf.! Anafanya v2 raf mara mswaki kauweka juu ya tv, cku hiyo akibrash via2 brash anaikuta ju ya redio, akitoka kuoga kopo na brash kitandan. Akitoka alikotoka 1 kwa 1 kitandan bla kujal mchaf au lah. Kitanda kinageuka beach kimejaa mchanga. Mdada wa wa2 ana mtoto anaogopa mwanae kuumwa mafua na rashes. Kajitahd kumnawisha mume lkn wap! Akitoka akirud kaz ileile. Mdada wa wa2 anabadirisha mashuka twice per day. Na mume akilala km anafanya mashndano ya kukimbia riadha kitandan, mara mto aukute chin mara shuka lote alikusanye alilalie. Wakilala wote upande wa bishost 2 ndo unakua salam. Kaongea kachoka, kamnawisha lakin wap? Kaamua kuama chumba yeye na mwanae kwa mume anaingia kutandika 2. Anavyodai awali hakua hvy sasa cjui ndo mazoea yamezd au anamkomoa? Nimemwambia amwambie m2 anae heshimiana sana na mumewe may b atamuelewa au ataona aibu na kujirekebsha. Otherwise dada wa wa2 atateseka hana hausgel na ana mtoto kufanya kaz 1 mara kumi kumi inaboa lol... Na kumtenga chumba yale mambo mengne watapeanaje? Ndo mwanzo wa mech za nje.
Jaman kuwen makin vile vtabia vnavyokera wenz wenu jitahdn mviache!
Nawasilisha.

wala asijidanganye.... mech za nje zishaanza siku vyingi tu...
 
Ngoja nikatandike kitanda nisije na mimi baada nikakuta nimeandikwa hapa, maanake siku hizi hamna privacy kabisa.
 
mmoja akiwa mchafu kwenye ndoa inaboa kusema kweli lol.... ina kuhama chumba, huyo kaenda mbali, sidhani kama ndio solution. Asiache kuongea, iko siku atabadilika labda.
 
Kilichobaki ni kuishi kwenye nyumba ambazo ni transparent. Hivi hata hili lishatoka nje na lipo jamii forums?

Duh, kweli wenye ndoa walishatoka waliobaki ni waigizaji!
 
huyu dada anachohitaji ni kujitoa zaidi tu katika kumfuatilia mumewe.... akiingia ndani ahakikishe anampeleka sehemu ya kuvua viatu na amwambie avue (hapa hakuna macare ya kuvuana viatu maana ukimzoesha hivyo siku ukisafiri utakuta viatu hadi kwenye friji, na lengo ni kumfunza usafi).....

anaweza kumpeleka wanapohifadhi nguo chafua huku unamwongelesha kimahaba (hakikisha anavua nguo na anaziweka sehemu sahihi) nk nk nk..

mambo yote ahkikishe mume anayafanya mwenyewe, yeye awe pembeni yake kumchekesha kumwongelesha nk (si mnasema wanaume ni kama watoto? sasa bi shosti kazi anayo) mpaka pale mwanaume atakapozoea..

ila najiuliza huyu mke hakujua tabia ya mumewe kabla ya ndoa???????????

au majukumu ya kulea mtoto mdogo yamemzidia sasa hawezi kumlea mtoto mkubwa?

na wazazi pia tuchukue funzo hapa, tulee watoto wetu ktk hali ya usafi, tuwafunze usafi la sivyo wataenda aibisha huko mbele...

Daaah ni kweli kabisa huu ni uchafu kutoka kwenye damu! Ila kwenye kulala na jembe hapo hahahaha nimecheka sana!
Tunajua kabisa huyu dada kwakweli ana teseka sana lakini hii njia anayo tumia sasa inatamuuza pia! Hapa ancho fanya ni separation ! Ange tumia njia nyingine lakini si hii kwani ana hatarisha ndoa yake kabisa!
 
umhame mume kisa mchafu?
Kwa nini asimloweke kwenye beseni?

Wakati wanaoana hakujua?

Hizi ndoa za sasa zimerogwa?

Ana lake jambo

Mjini hadithi haziishi...ila ilo la kumloweka limekaa poa sana...sijawahi kulowekwa. I can imagine!!
 
Come to me, you will get it all

Tena bila gharama kabisa, sihitaji jaccuzi la milioni ili wewe upate raha ya kujiloweka kwenye maji moto

Nina beseni kuuubwa la simba plastic, linatosha hata watu wazima watatu.

Note: Mdalasini, karafuu, pilipilimanga, karoti na pilipili hoho vitahusika kunakshi nakshi maji

Huduma ya 'home made wine' inahusika pia, kwa ajili ya kusuuza koo wakati unalowekwa, taarabu za asili nitakuimbia, chezeiya Konnie wee

Kama huna kisosa wine itakuwa haina kazi...angalia usihamasishe mashambulizi ya kweli halafu ukayakimbia yatakapopiga hodi.
 
Kisosi chenye mchanga wa pwani lazima kiwepo

Mashambulizi yakizidi tunaenda half time, kwani tunataka kuuana? Si kufurahi?

Nikimbie kabla Erotica hajakuja hapa

Kama huna kisosa wine itakuwa haina kazi...angalia usihamasishe mashambulizi ya kweli halafu ukayakimbia yatakapopiga hodi.
 
Last edited by a moderator:
Kisosi chenye mchanga wa pwani lazima kiwepo

Mashambulizi yakizidi tunaenda half time, kwani tunataka kuuana? Si kufurahi?

Nikimbie kabla Erotica hajakuja hapa

Erotica achana naye kashazeeka yule...mapacha wamemzeesha na tumbo limekuwa kubwa....in short amepoteza mvuto wala usihofu.
 
Last edited by a moderator:
He he he, hujui raha ya tumbo eeh?

Hukutika kama mto ule, ujirisherushe hadi basi

Mtu anahema kama utumbo unataka kutokea mdomoni kuna raha gani hapo? raha labda ya kisosa na beseni tu maana sijaonaga hiyo kitu bado
 
Back
Top Bottom