Mke analalamika house girl mchawi!

Mke analalamika house girl mchawi!

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
847
Reaction score
80
Habari za hasubuhi wapendwa,

Dunia hii haishi visa , kuna jirani yangu kamtimua mke na watoto kabaki na house girl, mke alipotaka kumchukua house girl ili akamsaidie kulea watoto kwani naye ni mfanyakazi baba kagoma, kang`ang`ania kubaki na house girl.

Baada ya kuondoka huyo mama, house girl kawa kama ndiyo mama mwenye nyumba.
Majirani tumebaki mdomo wazi, kwani huyo mama ndiye aliyekuja na huyo housegirl.

Mke analalamika housegirl kamloga mumewe, mke kajaribu kuongea hadi na ndugu wa mume mume kagoma kumuondoa house girl, bora akosane na ndugu wote lakini si kumuondoa house girl nyumbani kwake.

Hii issue imekaje kwani mme ni kijana anayefanya kazi ktk kampuni nzuri na ni muelewa wa mambo mengi but ameshindwa kuthamini hata wanawe kisa housegirl!
 
Kuna mtu aliwahi kunambia eti "beki tatu ni watamu"!:smile-big:

On a serious note, sidhani kama ni uchawi zaidi ni huyo mwanaume tu akili ndogo/au "imemruka"!
 
heeee!!! hayoo ndo matatizo ya kumruhusu housegal amfulie mmeo adi boksa!! wamama wengi wakiwa na housegal wanasahau majukumu kwa waume zao.. haya sasa housegal anazawadiwa kojo la moto na yeye....
 
Nappingana na mawazo haya, Huyu baba atakuwa cd la kiume au ni wale mababa wasiopenda majukumu. Ni wale mababa wachafuzi, Huyu Hata binti zake awe za Ramba!
 
Mchawi ni huyo mama mwenyewe,
Unadhani kama jamaa ana mwaka mmoja hajawahi kuonya radha ya mapishi ya mama, hajawahi kutandika kitanda tangu ajifungue mtoto wa kwanza, hajawahi kudeki chumba tangu sikku mimba ya kwanza ilipotungwa, hajwahi kula chakula na baba tangu amemaliza matenity leave ya mtoto wa kwanza!
bajeti ya chakula house gal ndiye anawasiiliana na baba, mama yuko busy, boxer mama anazirudika dada afue.

katika hali kama hii, hata uwe ni wa maombi namna gani, shetani atapata pa kupitia!

Huyo mama ndiye mchawi asitafute mchawi popote!
 
NATA.......ninayaheshimu mawazo yako sana mdogo wangu. Ninapenda unavyoainisha mambo.

Pamoja na kuwa mama anaweza akawa alijisahau kimajukumu (na hata kihaiba-ya wajibu wake kama mke, mpenzi wa huyo mume) bado kutembea na msichana wa kazi ni makosa hakujustify kwa baba kuwa na mahusiano na dada wa kazi. Sijui kwa nini wanaume huwa hawahangaiki sana na resque solutions than escaping ones..................... kama mkeo kajisahau si mnajadiliana na kukumbushana?? kwa nini ukae kimya kisha umchape mwenzio na fimboya ndani kama hiyo??

Mimi nilishasema kuwa mwanaume anayegeukia kwa msichana wa kazi/shemeji yake au rafiki wa mkewe kwa jina la kutafuta refuge ya mapenzi ni weak......... anatake advantage ya hao wanawake wenzangu... Kama ni kidume kilichodhulumiwa haki yake ya ndoa au whatever haki basi atafute mwanamke wa nje, mbali kabisa na sio hao.
 
Last edited by a moderator:
mdudu ndani ya kokwa la embe!
ka agent hako ka kuzimu
aende na wachungaji wapige maombi
ataondoka mwenyewe bila kutumia nguvu nyingi!

Tatizo linajulikana ukishalamba hg utegemee lolote, kama ni mchawi maana yake anataka nyumba na mama utakoma. Mie nimejifunza na inafanya kazi kama mama anaenda kazini j1 halafu mwanaume unabaki na hg na watoto, ni hatari kama una nyege hivyo nitaondoka na watoto tutazunguka popote mradi tukirudi tukute na mama karudi. Kama nyege zimezidi sana basi afadhali uende kdoni kwenye massage kuliko kukaa na hg maana hatakatiza ni lazima utatomba tu kulaleki.
 
Mchawi ni huyo mama mwenyewe,
Unadhani kama jamaa ana mwaka mmoja hajawahi kuonya radha ya mapishi ya mama, hajawahi kutandika kitanda tangu ajifungue mtoto wa kwanza, hajawahi kudeki chumba tangu sikku mimba ya kwanza ilipotungwa, hajwahi kula chakula na baba tangu amemaliza matenity leave ya mtoto wa kwanza!
bajeti ya chakula house gal ndiye anawasiiliana na baba, mama yuko busy, boxer mama anazirudika dada afue.

katika hali kama hii, hata uwe ni wa maombi namna gani, shetani atapata pa kupitia!

Huyo mama ndiye mchawi asitafute mchawi popote!
Babaubaya I strongly dis approve of what you said,but I will defend to death your rights to say it.
wote tumelelewa na wazazi wengine wakiwA wote workers au mmoja ndio anafanya kazi. Mama Wengi wanajitahidi kufanya vitu Vingi juu ya waume zao Lkn bado utakuta mwanaume anamsalandia hsgirl Kafka Juzi tu Hata kazi hajaanza lasm. Mimi naamini hii ni Tabia tu ya baadhi ya mababa. Haina uhusiano wa moja kwa moja na Hayo uliyosema. Tusitafute vichaka !
Wanaume wapunguze ubinafsi, na hao malaika nao wanabebeshwa dhambi kwa lipi sasa!
 
acha kabisa...mabeki tatu watamu usipime..msimushangae jamaa kanasa ni mtego wa mua mrefu sasa ndio umefyatuka na kunasa mtu hapo...kazi ni kwa huyo mama maana kwa kuwa dawa ya moto ni moto basi na yeye aende kwa sangoma!
 
MONTESQUIEU, huyo beki tatu kwao ni wapi? twaweza kuanzia hapo ukishatupatia jibu! usikae kimya tafwazali!
Habari za hasubuhi wapendwa,

Dunia hii haishi visa , kuna jirani yangu kamtimua mke na watoto kabaki na house girl, mke alipotaka kumchukua house girl ili akamsaidie kulea watoto kwani naye ni mfanyakazi baba kagoma, kang`ang`ania kubaki na house girl.

Baada ya kuondoka huyo mama, house girl kawa kama ndiyo mama mwenye nyumba.
Majirani tumebaki mdomo wazi, kwani huyo mama ndiye aliyekuja na huyo housegirl.

Mke analalamika housegirl kamloga mumewe, mke kajaribu kuongea hadi na ndugu wa mume mume kagoma kumuondoa house girl, bora akosane na ndugu wote lakini si kumuondoa house girl nyumbani kwake.

Hii issue imekaje kwani mme ni kijana anayefanya kazi ktk kampuni nzuri na ni muelewa wa mambo mengi but ameshindwa kuthamini hata wanawe kisa housegirl!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mkishapata mahouse girl mnajisahau hadi kumhudumia father mjengo.kazi zote beki tatu hadi kutandika chumbani haaa,na hayo madawa ya uzazi wa mpango wengi wenu yanawaondolea ham.hapo akikamatwa beki 3 anahamishiwa kiungo mchezeshaji
 
Napita hapa.. Salamu kwenu nyote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tatizo linajulikana ukishalamba hg utegemee lolote, kama ni mchawi maana yake anataka nyumba na mama utakoma. Mie nimejifunza na inafanya kazi kama mama anaenda kazini j1 halafu mwanaume unabaki na hg na watoto, ni hatari kama una nyege hivyo nitaondoka na watoto tutazunguka popote mradi tukirudi tukute na mama karudi. Kama nyege zimezidi sana basi afadhali uende kdoni kwenye massage kuliko kukaa na hg maana hatakatiza ni lazima utatomba tu kulaleki.

Wanawake wenyewe ndo wanaruhusu haya, hasa hawa .com ndo kabisa, wanajifanya wana elimu, ajira nzuri hivyo hawababishwi. Mwanaume asili yake uongozi wa familia aisee, sasa kama mwanamke anajifanya naye yupo juu ndo hapo balaa linaanza, na ujue mwanaume akiona ---- ni sawa na mbwa kwa chatu, wadada wa kazi wana mitego hatari!
 
Jamani Siri za Ndoa acheni maana hawa mabeki 3wana mbinu nyingi hasa wamama wanapoenda kujifungua wao wanamiliki kila kitu utashangaa unaporudi umerithiwa kila kitu. na kwa vile unanyonyesha hapo Mzee hataki kukusikkia kabisa
 
NATA.......ninayaheshimu mawazo yako sana mdogo wangu. Ninapenda unavyoainisha mambo.

Pamoja na kuwa mama anaweza akawa alijisahau kimajukumu (na hata kihaiba-ya wajibu wake kama mke, mpenzi wa huyo mume) bado kutembea na msichana wa kazi ni makosa hakujustify kwa baba kuwa na mahusiano na dada wa kazi. Sijui kwa nini wanaume huwa hawahangaiki sana na resque solutions than escaping ones..................... kama mkeo kajisahau si mnajadiliana na kukumbushana?? kwa nini ukae kimya kisha umchape mwenzio na fimboya ndani kama hiyo??

Mimi nilishasema kuwa mwanaume anayegeukia kwa msichana wa kazi/shemeji yake au rafiki wa mkewe kwa jina la kutafuta refuge ya mapenzi ni weak......... anatake advantage ya hao wanawake wenzangu... Kama ni kidume kilichodhulumiwa haki yake ya ndoa au whatever haki basi atafute mwanamke wa nje, mbali kabisa na sio hao.

Mwanajamii1,naunga mkono hoja yako!
Sidhani km kuna kinachoshindikana kwa maongezi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom