Kumbe wewe ni kibonge pia !!!!ko sisi vibonge tupambane na hali zetu haya
all the best
Haya ya kuweka deadline kama tangazo la kazi ndiyo yanakuchelewesha kuoaWanajamvi bila kuwapotezea muda, nina miaka 38 sijawahi kufunga ndoa, najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mke wa kuoa, sifa za mke ni mtakaye;
1. Awe anakaa Dar
2. Awe na rangi, ila siyo kibonge
3. Umri 20 - 32
Sitanii kwa hili, aliye serious namkaribisha.
Tangazo hili litaisha muda mpka tarehe 1 Januari, 2024.
NakuombeaWanajamvi bila kuwapotezea muda, nina miaka 38 sijawahi kufunga ndoa, najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mke wa kuoa, sifa za mke ni mtakaye;
1. Awe anakaa Dar
2. Awe na rangi, ila siyo kibonge
3. Umri 20 - 32
Sitanii kwa hili, aliye serious namkaribisha.
Tangazo hili litaisha muda mpka tarehe 1 Januari, 2024.
Huyu hataki wanawake weusi...sema anashindwa kuliweka wazi hili...Ina maana mkuu kuna wanawake hawana rangi..?