Afghanistan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,306
- 2,000
- Thread starter
- #81
Umekosa kipi hapo mpenzi ?mbona rahisi tuSina vigezo mkuu.

Umekosa kipi hapo mpenzi ?mbona rahisi tuSina vigezo mkuu.

Sijui swala la Mwenza huwa mnalichukuliaje.
Eti Mke anahitajika haraka. Just as if, ni bidhaa ya kuchomoa mahali kisha unalipa na kujibebea mzigo wako.



Mwamba anaonekana anaugumu sijui katoka porn maana kpngere cha mwsho anadai awe tayar kujitwisha msalabaMkuu upo speed ngiri akasome
Yani ukisoma hapo awe tayari kuishi tz au nje....moyo unafanya paaah unajisemea ahsante baba.
Ukirudi huku naishi kusini mwa tz....moyo unajisemea nyooooooohhh nije kula korosho na maembe![]()







Alete mrejesho Kwakweli! Kwa haraka aliyokuja nayo labda ndoa tayari![]()
![]()
![]()
@Afghanistan
Unataka niweje ili next time nibadili upepo

naona anataka uchukue Id yake kabisa ili uwe kama yeye