Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Hata mm nataniaAh wee mie natania usije mroga mtoto wa watu bure
Hata mm nataniaAh wee mie natania usije mroga mtoto wa watu bure
Ila wee kuolewa sitaniiHata mm natania
Sawa nitafutie mchumba m. Sina muda Niko busy sana😀Ila wee kuolewa sitanii
Haha kina abby chams hawa [emoji38]Kama unahitaji mke chap chap mtafute Akothee akupe haka ka binti kake, ni kabikira ila anakauza ksh milioni 990.
Changamkia hako ka Rue Baby kana age ya 24.
View attachment 2665576
Wee sii umesema una mchumba.Sawa nitafutie mchumba m. Sina muda Niko busy sana😀
MmmhKaribu mkuu
Duh! Mke wa haraka haraka! Haraka haraka inaweza isiwe na baraka. Kumbuka. Unatafuta mwenzi wa maisha mwanangu. Hivyo, ningeshauri haraka iepuke usijejuta haraka. Ni ushauri tuAwe:
●Dini yoyote ila asiwe na msimamo mkali
●Kabila lolote
●Miaka 31 kushuka chini
●Elimu form 4 na kuendelea
●Kazi yoyote (si lazima)
●Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)
●Ahakikishe amejikana mwenyewe na kujitwika msalaba wa uaminifu kisha anifuate
♡Ukiwa na hizi sifa njoo PM ambako tutapeana namba tuweze kufahamiana vizuri na maisha yaanzie hapo
MIMI:
●Mkristo
●miaka 31
Sifa zangu zingine nitakupa PM ila usiogope ni Raia mwema,mcha MUNGU, najishughulisha na nina malengo makubwa.
Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku.
Karibu
Teh teh 😂😂 jamaa ana haraka kweli kweli..Sijui swala la Mwenza huwa mnalichukuliaje.
Eti Mke anahitajika haraka. Just as if, ni bidhaa ya kuchomoa mahali kisha unalipa na kujibebea mzigo wako.
Sina vigezo mkuu.Njoo PM