Mke anahitajika haraka

Afghanistan

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
308
399
Awe:
●Dini yoyote ila asiwe na msimamo mkali
●Kabila lolote
●Miaka 31 kushuka chini
●Elimu form 4 na kuendelea
●Kazi yoyote (si lazima)
●Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)
●Ahakikishe amejikana mwenyewe na kujitwika msalaba wa uaminifu kisha anifuate

♡Ukiwa na hizi sifa njoo PM ambako tutapeana namba tuweze kufahamiana vizuri na maisha yaanzie hapo

MIMI:
●Mkristo
●miaka 31
Sifa zangu zingine nitakupa PM ila usiogope ni Raia mwema,mcha MUNGU, najishughulisha na nina malengo makubwa.
Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku.

Karibu
 
"Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)"

Shemeji hapo panatia hamu

"Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku."

Halafu hapa panakata hamu.

Kila laheri shemeji upate mke na ndoa iwe ya furaha sana huku mkiinjoi korosho huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom