Mke anahitajika haraka sana.

Mke anahitajika haraka sana.

Haha mkuu , unadhani mke ni kama kuenda sokon kununua matunda

Kila la kheir ukimpata uje na mrejesho
 
Mimi wa darasa la saba sijui atanioa nani kila mtu anataka mwenye digiriii mweeeeeeh......haya wa nakuja wasomi
Sisi wa la saba tusubiri subiri mwenzangu, pengine watatoa Uzi wa kuhitaji wa La saba.
 
Mm nilifanya kama ww kuweka tangazo hapa ila nlichoambulia ni kupata wanawake wabovuwabovu wachafu , shepu hakuna, kitandani wanayofanya sio kabisa ni zaidi ya malaya, yaani wanawake wa mtandaoni cha kwanza utakachokutana nacho ni kusex, be care mkuu
Aiseee
 
aina h ya mikeka hua inachanika ht kabla ya mechi
 
Back
Top Bottom