Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Jamani tuache utani mtu akipenda mmewe anataka awe naye ni shida?
La muhimu toa dozi nzito utasikia anasema siku hizi huwatembelei jamaa zako?
Huyo mama yuko sawa!!. Kama si kwa mumewe afanye wivu kwa mchepuko au???!!