Wandugu nishakuwa na jirani yangu mke ana sauti nzito kweli kweli na mme ana kasauti kepesi tu, mwanamke ameumbika vizuri sana tu ila hiyo sauti ya besi ndio hoja yangu. Ukiwa unapita nje halafu wao wako ndani wanaongea, inachanganya!
Hivi kama mwanaume unajisikiaje kuwa na mke mwenye sauti nzito kinoma wakati wewe sauti ya pili!? Najua ni maumbile hawajitakii, lakini je wajikiaje? Na miguno yake pengine hata wakati wa shughuli ni besi pia.
Oh yes! I have Maya's CD collection of poems and as she recite 'phenomenon woman' awwwww it sticks! I don't think I would have paid attn to it if the same poem is read by any other voice...!! Respect madam angelouI think anyone can turn what is perceived to be a disadvantage to their advantage..., actually I like to listen to Maya Angelou, or when Halima Speaks (Though not bass but unique voice) I tend to listen.., You know that individuality.. thats what makes a person who she/he really is (complete package) I dont think Maya would be Maya with Whitney Houston Voice..
Kipi bora, besi au kigugumizi stammer?
Kenyon Martin, Nicholas Brendon, John Stossel, Byron Pitts, James Earl Jones, Carly Simon, Mel Tillis, Alan Rabinowitz, Robert Merrill, Winston Churchill, Marilyn Monroe, Ken Venturi, Bob Love, John Updike, King George VI, Frank Wolf, Lewis Carroll, Bill Walton
Mkuu again hata kigugumizi unaweza ukakitumia kwa advantage yako mfano Mbunge wa Mwanza Wenje anacho lakini ukiona hotuba zake huwa anaongea kama anacheza yaani ana-swing (kwahiyo hii inakuwa kama swagga), therefore ukitumia vizuri disadvantage mambo yatanyoka.
mfano wa famous people ambao wana Stutter:-
Thanks for the Compliment,VoR I think tukianzisha 'who wants to be a millionaire' utafika walau kwenye 32K ama sivyo?
you mean bass kama hii YouTube - Barry White - Can't Get Enough Of Your Love Baby.
lakini Mkuu hebu sikiliza hii sauti ingawa sio nyororo lakini nadhani hata wewe roho itapenda
YouTube - TONI BRAXTON-BEST FRIEND
YouTube - Toni Braxton - "Another Sad Love Song"
kwenye red.........nisaidie.
1. ni wewe mwenye? au
2. wewe unachakachua kwa jirani
kigugumizi kina levels. kuna kile cha kuongea mpaka upige mguu chini na wakati mwingine unagahiri kabisa kusema. nasikia watu wa hivyo wana hasira hasa ukiwacheka.
Yes there you are ndugu, hiyo sauti ya mwanzoni ya Barry White, sikilizia hapo ndio demu wako ana sauti kama hiyo na kwa kitanda pia
Mkuu watu wenye sauti za Barry ni wachache hata wanaume wenyewe ni wachache wenye sauti kama Barry..., Lakini unajua sauti nayo ni package ya mtu yaani identity yake kwahiyo hata uzuri wake ni hio sauti pia mfano cheki huyu hapa chini
YouTube - Kathleen Turner Salutes Michael Douglas
Whats wrong with that?
Mkuu sijajua hiyo besi yake ni kiasi gani lakini sometimes sauti tofauti ni sexy mfano Maya Angelou, Toni Braxton..., sio besi as such lakini they are different, yaani ziko unique... hata ya Halima Mdee.., kwahiyo hata hiyo tofauti ina uzuri wake.
Namzimikia sana na sauti yake..............soo sexy!
Kweli Mkuu kila kitu kinaendana na mtu mwenyewe.. Halima asingekuwa Halima bila ile sauti yake..., Just Imagine Halima na sauti ya Lady JD, nadhani hapo angekuwa amepungukiwa na sio kuongezewa...