besi inategemea analitumiaje
Kuna myth kuwa mwanamke mwenye besi ama ndevu chache kwenye kidevu basi huyo kwenye 6x6 ni hodari, na ukiimpata huyo humwachi
hapo nilipobold Sio MYTH ni ukweli mtupu! NIMEHAKIKI na mpaka leo niko naye huu ni mwaka wa 7!