Mke amkimbia mume kingono

Mke amkimbia mume kingono

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
141129145923_symbol_of_justice_640x360_bbc_nocredit.jpg

Sheria ichukue mkondo wake dhidi ya mume asiyeridhishwa na mkewe.
Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo na huku akimtaka mumewe amsamehe na kumwachilia aende zake kutokana na mumewe kuwa na hamu ya kufanya ngono isiyo na koma.

Ruth Nakyeyune,alikuwa akilia na hanyamazishwi kwa madhila apatayo kutoka kwa mumewe huku akimuomba mumewe mwenye asili ya Nigeria bwana Sultan Ali Baba kwa pamoja ni wakaazi wa Nakuwade Bulenga,karibu na barabara ya Mityana, mwanamke anaomba poo na mwenyekusema basi yatosha na kutaka waachane kila mmoja ashike hamsini zake.

Bi Nakyeyune amesema pia kwamba amekuwa si mvumilivu kwa muda mrefu na asiyejali chochote na hataki kusikia jibu la hapana linapokuja suala la ngono.bibi huyo amesema kwamba pindi anapokuwa hajisikii vizuri na hawezi kufanya ngono,Sultan haelewi juu ya suala hilo,na humnunia.sultani alipoulizwa juu ya

kununa kwake alisema kwamba hamuamini mkewe na sababu anazompa hivyo anadai anamdanganya na kumnyima haki yake bure na kusema kuwa huwa hamridhishi,mara zote mwanamke huyoa amekuwa akitafuta sababu na mara moja ameshawahi kumtishia atajiua.

Sultan alimtaka mwanamke huyo amshukuru Muumba wake kwakuwa yeye ni mume mwema asiyekunywa pombe kama wengine wafanyavyo,na kumshangaa mkewe anashindwaje kumridhisha kirahisi?

Na kumuuliza mkewe bi Nyakyeyune kwanini aliwaacha wazazi na jamaa zake kama hakuwa tayari kumridhisha kingono,na kama shangazi zake ndo walomfunda na kumpeleka kwake kwa shughuli za ndoa, vipi hayuko tayari?

Inaelezwa kuwa wake wa awali wa bwana Sultan walimkimbia mwanamume huyo kwa tabia hiyo hiyo ya kutoridhika kingono,lakini baadaye Sultani alimuomba mkewe kusalia nyumbani kwa ajili ya watoto wao ili wawalee lakini mke alikataa ushawishi huo.


Chanzo.BBC
 
Angeoa wake 4 lol hata akimaliza zamu mwengine kashapumzika kwa siku 3 lol
 
Uzoefu wangu wa kusikia ..ni kuwa wapo wanawake wanakimbia ukubwa wa maumbile. Lakini ukiona wanasepa gemu. Iti izi tekniko nyuu tu mii.OMG!
 
Mamamaaaaaeeee huyu atakuwa anapaka ile dawa ya wakongo putuluu..unasugua k masaa manne bila kukojoa...shkamoo mzee wangu sultan
 
Sultan Ali Baba
Mwanamke mmoja wa Uganda amemkimbia mume wake kutokana na mahitaji makubwa ya tendo la ndoa!

Tukio hilo limewashangaza watu wengi Uganda baada ya Ruth Nakyune kumkimbia mume wake alietajwa kwa jina la Sultan Ali Baba.

Ugomvi wa wawili hao umefikishwa katika kituo cha Polisi cha Bulenga ambako mama huyo alimuomba mume wake waachane kutokana na kushindwa kumudu mahitaji ya mume wake.

"Naomba kzachana na ndoa hii kwa kuwa mahitaji ya tendo la ndoa yamekuwa makubwa na ya mara kwa mara" mama huyo alitoa kauli hiyo ktk kituo hicho cha Polisi.

Mama huyo alisema hawezi kuvumilia hali hiyo kwa kuwa anapomwambia hawezi kufanya hivo ugomvi mkubwa hutokea.

Kwa upande wake Sultan alisema mke wake alikuwa akimdanganya na anashindwa kueleza ukweli kwamba ameshindwa kukidhi mahitaji yake.

Rafiki wa sultan alisema ni kweli mama huyo alikimbia nyumbani kutokana na mume wake kuwa na mahitaji makubwa na alifafanua kuwa wake zake wawili wa zamani walimkimbia kutokana na dozi kuwa kubwa.

Baada ya mazungumzo marefu Sultan alimuomba mke wake arejee nyumbani kwa ajili ya kuwatunza watoto, lakini mama alikataa.

Mwananchi, Dec 18, 2014, pg 32.
 
Haya ni matangazo sasa, muweka mada hujui kwamba wanaume wa dizaini hii ni adimu sana huku bongo?
 
Inawezekana na jamaa nae hali yake kiuchumi sio nzuri........maana wanawake kwenye uwepo wa hela wana uwezo mkubwa sana wa uvumilivu.......
 
Mmmh! kila kitu ni kiasi mkuu si kwa wanawake tu hata wanaume.
Wanawake viumbe wa ajabu sana...wakisuguliwa sana kesi ,wakisuguliwa kidogo lawama eti hunifikishi....wasiposuguliwa kabisa matusi yanaanza.......
 
Mmmh! kila kitu ni kiasi mkuu si kwa wanawake tu hata wanaume.
Basi ili kupunguza lawama inabidi hatujaanza mahusiano uniambie kiwango chako cha ladha....na ili nikufikishe kileleni nikimbie kilometer ngapi kwa saa......????
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana...wakisuguliwa sana kesi ,wakisuguliwa kidogo lawama eti hunifikishi....wasiposuguliwa kabisa matusi yanaanza.......

Mkuu hata ASALI ikizi sana pia hua na madhara,inawezekama huyo bwana anaitaka kila mara na mwenzie hawezi kuhimili
kuna wanaume wengine Mashallah wakipanda mpaka shutiii jasho linamtoka utadhani ana twanga......
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana...wakisuguliwa sana kesi ,wakisuguliwa kidogo lawama eti hunifikishi....wasiposuguliwa kabisa matusi yanaanza.......

Sio kweli!!Kwani unashindwa kubadilika na mazingira?mpimie sawasawa na uhitaji wa muda husika...sio kukomoa wala sio pungufu,just kwa 'kiasi'
 
Back
Top Bottom