KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,765
- 39,522
Kwa kiasi gani labda....mkuu....???Sio kweli!!Kwani unashindwa kubadilika na mazingira?mpimie sawasawa na uhitaji wa muda husika...sio kukomoa wala sio pungufu,just kwa 'kiasi'
Kwa kiasi gani labda....mkuu....???Sio kweli!!Kwani unashindwa kubadilika na mazingira?mpimie sawasawa na uhitaji wa muda husika...sio kukomoa wala sio pungufu,just kwa 'kiasi'
Basi ili kupunguza lawama inabidi hatujaanza mahusiano uniambie kiwango chako cha ladha....na ili nikufikishe kileleni nikimbie kilometer ngapi kwa saa......????
Ok..samahani kwa usumbufu....Mkuu hili swali naona liende kwa anaelalamika sio mimi
Angekuja bongo angemkumbuka sultan,huku bongo unaachwa na genye lako daily!
Sasa hapo itabidi umsome muhusika na mahitaji yake,siwezi kukupa kipimo mimi...!chumvi ikizidi punguza maji,maji yakipungua ongeza maji...Kwa kiasi gani labda....mkuu....???
Wanawake viumbe wa ajabu sana...wakisuguliwa sana kesi ,wakisuguliwa kidogo lawama eti hunifikishi....wasiposuguliwa kabisa matusi yanaanza.......
KikulachoChako hapo ndio huwa nashindwa kushangaaInawezekana na jamaa nae hali yake kiuchumi sio nzuri........maana wanawake kwenye uwepo wa hela wana uwezo mkubwa sana wa uvumilivu.......
Dont go away kuna vitu vingi huwezi kabisa kuwalaumu WANAUMEKuna umuhimu wa Mungu kuharakisha kuja duniani maana hali ni mbaya sana na watu wake hawaeleweki hivi...
Wala usishangae ndugu slim5 hawa ndugu kwenye hela wanaweza hata kuishi jehanamu na wakavumiliaKikulachoChako hapo ndio huwa nashindwa kushangaa
......haya nitakuuliza baadae sasa hivi ngoja njienge nchi......Sasa hapo itabidi umsome muhusika na mahitaji yake,siwezi kukupa kipimo mimi...!chumvi ikizidi punguza maji,maji yakipungua ongeza maji...
Wala usishangae ndugu slim5 hawa ndugu kwenye hela wanaweza hata kuishi jehanamu na wakavumilia
Mkuu utayaona mengi sana na utaendelea kushangaa sana....lakini ndio walivyo.....hawa viumbe....mkuu KikulachoChako ni kweli tupu hapo, nishajionea haya!
Mhhhhhh????
Kwa hiyo hii stori yako inaisaidia nini au inaifundisha nini jamii?Sultan Ali Baba
Mwanamke mmoja wa Uganda amemkimbia mume wake kutokana na mahitaji makubwa ya tendo la ndoa!
Tukio hilo limewashangaza watu wengi Uganda baada ya Ruth Nakyune kumkimbia mume wake alietajwa kwa jina la Sultan Ali Baba.
Ugomvi wa wawili hao umefikishwa katika kituo cha Polisi cha Bulenga ambako mama huyo alimuomba mume wake waachane kutokana na kushindwa kumudu mahitaji ya mume wake.
"Naomba kzachana na ndoa hii kwa kuwa mahitaji ya tendo la ndoa yamekuwa makubwa na ya mara kwa mara" mama huyo alitoa kauli hiyo ktk kituo hicho cha Polisi.
Mama huyo alisema hawezi kuvumilia hali hiyo kwa kuwa anapomwambia hawezi kufanya hivo ugomvi mkubwa hutokea.
Kwa upande wake Sultan alisema mke wake alikuwa akimdanganya na anashindwa kueleza ukweli kwamba ameshindwa kukidhi mahitaji yake.
Rafiki wa sultan alisema ni kweli mama huyo alikimbia nyumbani kutokana na mume wake kuwa na mahitaji makubwa na alifafanua kuwa wake zake wawili wa zamani walimkimbia kutokana na dozi kuwa kubwa.
Baada ya mazungumzo marefu Sultan alimuomba mke wake arejee nyumbani kwa ajili ya kuwatunza watoto, lakini mama alikataa.
Mwananchi, Dec 18, 2014, pg 32.
Kwa hiyo hii stori yako inaisaidia nini au inaifundisha nini jamii?