Mke amenenepa baada tu ya kumuoa

Mke amenenepa baada tu ya kumuoa

Aaah!sure wanawake wa ck hz (sio wote) wamezidi,wanakula kula hovyo hovyo kila kitu,hawajali afya ya miili yao mwisho wa siku wananenepeana tu,hawaeleweki nyuma wap wala mbele,wapo tu kama ugali.

Wanawake wanatakiwa kujali miili yao ili wavutie,kwa wenzetu unene unapgwa vita,wanawake wa tz ndo wanaona sifa.

Mkuu huyo mwanamke unamdekeza,mwambie hupend unene,akiwa mbish mpge chn,nilikua na bnt mmoja akajinenepea hovyo,nikamtishia kummwaga,mbona miez 3 tu alirudi hali yake ya zaman.mjulishe kua hupende UTIPWA TIPWA.

jombaa,hapo pekundu unajua umetukana bila kutumia matusi,mimi nimecheka kwa vile ni mwanaume,lakini nilipojiweka ktk nafasi ya mwanamke nikaweza kuhisi maumivu utakayowapatia kwa maneno yako haya,siku nyingine usiseme kweli inayouma au sema kweli ktk namna isiyouma
 
nikuulize mdau,tuseme uko kazini muda huu umemuacha mkeo nyumbani,unarudi jioni unakuta mkeo kazeeka leoleo kawa kama bi kizee wa miaka 80 utaona sawa tu?kama hautaona sawa kwani hujui kuwa atazeeka kwanini usione sawa?sababu ni kuwa UNATARAJIA ATAZEEKA baada ya muda huo kupita na sio leoleo!kwa hiyo hapa kwa mtoa mada shida sio kubadilika kwa mkewe,shida hakutarajia kaoa juzi tu leo kitu tinginya. Matarajio yetu ndio yanayoleta usumbufu ktk maisha

hajaweka time frame ya kutoka wembamba hadi kuwa mnene , labda kama alitumia mizizi ya kichina ya kunenepa wiki moja! ila cku zote tutarajie physical changes za miili yetu na wenza wetu with time!
 
mr. pole sana ..inabidi uanze kubadilisha mlo wako binafsi..anza kunywa supu ya kongolo ili uwe unamtembezea doziii kali kila mda...na kwenye shuhuli uwe unamkunja kunjaaa ad akome mwe...aone umuhimu wa kupungua..
 
Ulipenda umbo au mtu ? maana maumbo hubadilika ila watu ("the inner beauty") haibadiliki labda mazingira yakilazimisha. married for wrong reasons.:nono:
 
wakati mwingine kunenepa si kula bali ni kuridhika tu, me mwenyewe mme wangu sikuhizi ananipigia kelele sana nipungue maana mwili unakuja kwa kasi, na wala si mlaji sana asubhi chai nakunywa na sambusa mbili au vibagia tu, mchana sili chochote zaidi ya mtunda na usiku nakula kidogo, na nakunywa sana maji ya moto lakini mwili ndo unakazana hata sijui nifanyaje na hapo sijazaa wala mimba sina

Fanya mazoezi kidogo, kama muda wako unaruhusu.
Atleast mara tatu kwa wiki.
 
Siku zote mi nilifikiri mbuzi hua ni mnyama tu, kumbe kuna wakati binadam naye anakuwa sawasawa na mbuzi!?
 
hajaweka time frame ya kutoka wembamba hadi kuwa mnene , labda kama alitumia mizizi ya kichina ya kunenepa wiki moja! ila cku zote tutarajie physical changes za miili yetu na wenza wetu with time!

KIDOLEGUMBA,

Hemu kuwa muelewa kidogo, ukisoma kichwa cha uzi utaona kuwa mleta mada ameonyesha wazi kuwa ameshtushwa na mabadiliko ya ghafla ya mke wake.

Hivyo ni tukio na muda mfupi baada tu ya kumuoa, na haikuwa na ulazima wa yeye kuweka exactly date ya lini kamuoa.

Kwa maono yangu, sio tu wanawake wanaopaswa kuwa makini na miili yao, bali hata sisi wababa tunapaswa kuhakikisha tunaendeleza miili yetu kama tulivyokutana na wenza wetu kwa kipindi kirefu kadri ya uwezo wetu.

Binafsi huu mwaka wa saba tangu nimuoe shemeji yenu lakini mpaka leo sijamchoka, bado namuona ni yule yule.
 
Last edited by a moderator:
Gosh :nono::nono: ndo tatizo hilo...unampendea mtu umbo?hujui kama umbo linabadilika....kesho mtu huna miguu,..akishazaa tumbo lakongoroka...Fanya mazoezi na umshirikishe na yeye...Jaribu kuwa mfano kwake baadala ya kuja kulalamika hapa na kumsimanga we mume wa aina gani usojua hata thamani ya mkeo!Na weekend jaribu mpikie vyakula healthy...mnunulie matunda na mbogamboga nyingi....
 
Ndoa ni zaidi ya muonekano wa nje,ni zaidi ya ngono yenyewe,by the way mueleze kwa upendo ni jinsi gani ulikuwa unamfurahia akiwa mwembamba
 
Mungu naomba aniepushie mwanaume kama huyu mtoa post hii.
 
huyu ni mke au kimada? unawezaje msema mke wako hivi? yani ni kama kitu cha kutumia tu! yani wewe nyumba ndogo lazima!
 
jombaa,hapo pekundu unajua umetukana bila kutumia matusi,mimi nimecheka kwa vile ni mwanaume,lakini nilipojiweka ktk nafasi ya mwanamke nikaweza kuhisi maumivu utakayowapatia kwa maneno yako haya,siku nyingine usiseme kweli inayouma au sema kweli ktk namna isiyouma

yani huyu mdau hajui anachoongea ni mambo makubwa sana na magumu kwa mwanamke
 
Gosh :nono::nono: ndo tatizo hilo...unampendea mtu umbo?hujui kama umbo linabadilika....kesho mtu huna miguu,..akishazaa tumbo lakongoroka...Fanya mazoezi na umshirikishe na yeye...Jaribu kuwa mfano kwake baadala ya kuja kulalamika hapa na kumsimanga we mume wa aina gani usojua hata thamani ya mkeo!Na weekend jaribu mpikie vyakula healthy...mnunulie matunda na mbogamboga nyingi....

na nyie wanawake mkae mkijua wanaume wengi ndivyo wanavyowasema pembeni yani ipo hivi hivi!
 
Ulimuoa kwaajili ya ngono tu au? ??

Dinazarde;
Samahani swali si la kwangu ila limenigusa. Hivi mi nilienda kuoa kwa ajili gani ka si ngono? We waiita ngono, wataalam wanaiita; Tendo la ndoa. Yaani kwenye ndoa hiyo ni kazi ya kila siku. Haturuhusiwi kulala umevaa pichu. Huwa natamani ilale humo humo, saa sijui kazi nyingine yake ni nini. Ugali upo hotelini, kinywaji kipo mpaka madukani, nguo tun dobi, weye uliolewa kwa sababu ya nini??
 
Mungu naomba aniepushie mwanaume kama huyu mtoa post hii.

im a man I cant declare this publicly! yani anamtesa mke wake kijinsia anadhani akisema huku mke wake hapati madhara! dhana ya mwili mmoja inafanya kazi hapa! mdau uombe kabisa na kwa machozi usije pata mwanaume masimango kama huyu!
 
Ukute kanenepa kwa njia za uzazi wa mpango unamsingizia kula...halafu mkeo huwez ona anakula sana kwani kazi unamfanyia nani na ulimuoa akalishwe na nani? Km kawa mzito kitandani mfundishe kwani hujui wanene nao wanaenjoy game?? Acha kutafuta sababu za kutoka nje braza tengeneza, mlipie gym na mfundishe mastyle mfanye vile utakavyo na si mbaya ukimwambia kulikon kumsema huku.. BADILIKA
 
Back
Top Bottom