Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Kuna watu wakiwa na stress ndo wananona. Hasira anamalizia kwenye msosi.
OMG!!! Ndio nasikia hivyo leo.
Kuna watu wakiwa na stress ndo wananona. Hasira anamalizia kwenye msosi.
haya malavidavi mnayotupa tuache kunenepeana...tunakula hatupumui...
by the way mwambie unataka kuoa mke wa pili hope apetite itaisha ataacha kula kula ovyo
umenena😛oahaya malavidavi mnayotupa tuache kunenepeana...tunakula hatupumui...
by the way mwambie unataka kuoa mke wa pili hope apetite itaisha ataacha kula kula ovyo
Kwanza kabisa naona AvartarWana MMU,
Katika miaka yote ya balaa niliyowahi kupitia naona huu umechukua tuzo.
Nilijitutumua mwenyewe kumuingiza huyu bi dada ndani kwa kujiaminisha amekidhi vigezo ikiwemo umbo 'portable' ili iwe rahisi kwangu kumgegeda kwa kila namna.
Sasa yaliyonikuta ni majuto makuu - mwanamkee amefutuka na kuwa bonge kiasi cha kupoteza utamu wote, kitandani akikaa kama gogo, kugeuka tu shughuli, kiuno hakionekani yani shida tupu.
Hivi kwanini wadada uwa mnajisahau mnapoingia kwenye ndoa?! Acheni kubweteka na maakuli, hayo mambo yapo tu. Sasa hali kama hii mimi niishije?
Wana MMU,

Hapo chini hayo masimango sasa kwani kwao aliua hali?
Naambiwa mwanamke ananenepa akipata frustrations (kimbilio lake ni kula) na mwanaume akipata frustrations anakonda (chakula kinakuwa kichungu). Huenda mkewe ananyanyasika, akimpa malavidavi atarudia hali yakehaya malavidavi mnayotupa tuache kunenepeana...tunakula hatupumui...
by the way mwambie unataka kuoa mke wa pili hope apetite itaisha ataacha kula kula ovyo
we inaonyesha akifika uzeeni utamkana kabisa kama unene tu unakupa presha! ungesimamisha mzunguko wa dunia ili abaki vilevile kama unaweza!
Correction:
HANA stress ndio sababu kanenepa!