haya malavidavi mnayotupa tuache kunenepeana...tunakula hatupumui...
by the way mwambie unataka kuoa mke wa pili hope apetite itaisha ataacha kula kula ovyo
Cha msingi kaka kila mtanzania ni mnene alikuwa na stress before kwa sasa hana stress ndo maana kanenepa cha msingi ni kumwambia kwamba unapenda shape yake ya zamani na kujua njia ya kumsaidia kuna njia rahisi ya kumsaidia kurudisha shape unaweza kunicheki kwenye namba yangu nikusaidie kwa product za weight management za forever living my number 0717115421
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.