Mke amenenepa baada tu ya kumuoa

Hapo chini hayo masimango sasa kwani kwao aliua hali?

Kusema kweli nyie wadada huwa mnajisahau, sio mwili tu wengine hata mambo ya usafi wanaweka pembeni, unaweza ukakuta anamtoto ananuka mikojo mpaka basi na yeye mwenyewe michirizi ya maziwa tu na ukichanganyia jinsi alivyo futuka hata hamu ya kuijaza nchi inaisha.
 
si uongee nae!!...kiutaratibu lkn sio unamwambia unanepeana tu hapa..loh..kma vpi muanze gym pamoja,au mlipie aanze,kitu na clean 9,uportable mbona utarudi fastaaa
 
ongea nae mwambie unachopenda kuja kumsema mkeo huku kwa lugha kali hivyo haisaidii! eti kumgegeda kwa staili yoyote kwani ulimuoa kwa ajili ya ngono tu!
 

Hii ndo shida ya kutamani bila kupenda kwa moyo wako wote vinginevyo usingekuja kuandika hapa.
Na unapooa utegemee mengi na kukubaliana na mabadiliko hapo hajazaa akizaa utatafuta majenereta
 
umefanya juhudi gani za kumfanya arudi umbo lake la zaman? Au ndio juhudi za kumlisha na kuja kumsimanga Jf,mwambie mkeo unapenda aonekane vipi.
 
nipe mimi najua kuyakamua hayo mabonge nyanya. niwekee na picha isije kuwa uvivu wako tu.
 

Masimango ya nini sasa? Watu wapo wapo, watoe diet arudi kwenye hali ya kawaida. Wanaume wengine bwana, kauli ZERO.
 
nyie ndo walewale malimbukeni.hapo c ajb mkigombana unamwambia,nenda huko.ulikuja kwangu umekonda sasa hv umenenepa unaleta jeuri'inahusu nn?
 
Sasa si umwambie huyo mkeo??? Unakuja kulia lia hapa sisi ndo tutampunguza huo ukifutu wake???
 
mbona wenzio wanafurahi wanapooa halafu mke akanenepa? mpeleke jeem afanye mazoezi kila siku asubuhi na jioni atapungua fasta, ila mlo nao apunguze asubuhi supu chapati za uhakika, mchana matunda tu ya kutosha, jioni mlo wa wastani, pia atumie maji ya moto badala ya maji ya baridi atapungua na utatuambia unless ni mbishi. Ila huyo ni mkeo mpende tu, muongee unachokitaka then fanya kama nilivyokuambia utaona matokeo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…