Mke amenenepa baada tu ya kumuoa

Mke amenenepa baada tu ya kumuoa

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
Wana MMU,

Katika miaka yote ya balaa niliyowahi kupitia naona huu umechukua tuzo.

Nilijitutumua mwenyewe kumuingiza huyu bi dada ndani kwa kujiaminisha amekidhi vigezo ikiwemo umbo 'portable' ili iwe rahisi kwangu kumgegeda kwa kila namna.

Sasa yaliyonikuta ni majuto makuu - mwanamkee amefutuka na kuwa bonge kiasi cha kupoteza utamu wote, kitandani akikaa kama gogo, kugeuka tu shughuli, kiuno hakionekani yani shida tupu.

Hivi kwanini wadada uwa mnajisahau mnapoingia kwenye ndoa?! Acheni kubweteka na maakuli, hayo mambo yapo tu. Sasa hali kama hii mimi niishije?
 
heheeee.... just to remind you.... don't even think of leaving the main road.! utamuua.
 
Hapo chini hayo masimango sasa kwani kwao aliua hali?

Mzee nikisema maakuli simaanishi kula kwa kudonoa donoa...kwenye ulaji hapa ni kwamba ukijiachia tu lazima ufutuke...uwa napenda kwangu pawe na kila kitu, sasa tatizo lipo kwenye self control, kula na ufanye exercise, jambo ambalo wadada wengi upuuza. Sasa matokeo yake ndio haya.
 
haya malavidavi mnayotupa tuache kunenepeana...tunakula hatupumui...
by the way mwambie unataka kuoa mke wa pili hope apetite itaisha ataacha kula kula ovyo
 
Sema nae basi mwambie kuwa anapendeza zaidi akiwa portable kama ni tatizo la kujiachia kula na mazoezi atapyngua ila pengine ni kuridhika tu maana kuna watu wakuridhika kidogo tu wananenepa........
 
haya malavidavi mnayotupa tuache kunenepeana...tunakula hatupumui...
by the way mwambie unataka kuoa mke wa pili hope apetite itaisha ataacha kula kula ovyo

Ahahhhahahaah lazima apate na presha...
 
over weight ..linaanza kuwa tatizo kubwa sana dunianai....mama Obama anakampeni ya kufa mtu kuhusu hili tataizo na anazunguka kila jimb us sasahivi...tujitahidi kufikiria tena na tena jinsi tunavyokula
 
Apo hajazaa. .duh kweli wanaume mmeumbwa.
Duh..
Nomaa
 
hapo sasa michepuko imepata nafasi....

waone madaktari wakipe njia murua kabisa za kumrudisha kutoka u-asha boko kwenda u-jokate mwegelo!
 
Mme kweli kapata huyo dada. JF noma aiseee

I hope this thread is a joke otherwise ndoa zinahitaji maombi na kufunga sababu kumsema mke hivyo hata kama unatumia fake ID inahitaji moyo wa ajabu.
 
Wana MMU,

Katika miaka yote ya balaa niliyowahi kupitia naona huu umechukua tuzo.

Nilijitutumua mwenyewe kumuingiza huyu bi dada ndani kwa kujiaminisha amekidhi vigezo ikiwemo umbo 'portable' ili iwe rahisi kwangu kumgegeda kwa kila namna.

Sasa yaliyonikuta ni majuto makuu - mwanamkee amefutuka na kuwa bonge kiasi cha kupoteza utamu wote, kitandani akikaa kama gogo, kugeuka tu shughuli, kiuno hakionekani yani shida tupu.

Hivi kwanini wadada uwa mnajisahau mnapoingia kwenye ndoa?! Acheni kubweteka na maakuli, hayo mambo yapo tu. Sasa hali kama hii mimi niishije?

Weka picha!
 
Back
Top Bottom