Mke afya OK, mume low sperm count - ushauri please

Just take Anoyting Water from T.B Joshua and believe
in Jesus Christ

sapi ur real man of GOd if u blv that i have one bottle using for familly u can chk m by pm n see whr we can meet n pray together n give u to go n spray u gv m bk
 
nikwambie kaka, bahati mbaya daktari aliyenisaidia ni mwanajeshi yuko kwenye op nje ya nchi....niliongea nae jana abt u...coz kwangu alifanikiwa 100%, and he was proud of it..alitamani kusaidia wengine wengi....but mimi sikula dawa yeyote zaidi ya hayo nliyokuelezea hapo....nakuhakikishia.....tulikaa miaka 2 ndo tukaanza kuhangaika,,, for 5 another yr... na kila baada ya 6months nlikuwa napeleka manii for check up... na majibu yalikuwa yanaleta faraja....
 
Kama unajua ofisi za clouds fm zilipo, opposite na pale kuna fertility clinic nenda hapo utapata matibabu na ushauri
 
ila kabla ya kuanza ICSI umejaribu vidonge kama zinc hazijasaidia? ni vyema ungepata na opinion nyingine
 
ila kabla ya kuanza ICSI umejaribu vidonge kama zinc hazijasaidia? ni vyema ungepata na opinion nyingine
Zinc inasemekana inapatikana kwenye vyakula vya baharini na mboga jamii ya mbegu. So katika milo yangu nazingatia hilo ndugu yangu.
 
Kama unajua ofisi za clouds fm zilipo, opposite na pale kuna fertility clinic nenda hapo utapata matibabu na ushauri
Daktari aliyenipima alishauri kuwa kutokana na procedure ya IVF/ICSI kuwa very delicate na inahitaji expensive equipment and expertise, alisema nchi anazojua zinasuccess nzuri katika hilo suala ni pakstani, Israel, India, UK, na akasema hata Kenya wameboresha siku za hivi karibuni ila kwa ujumla Africa alisema labda South Africa. Anasema ni kweli watu wanaenda lakini success rate sio sana na inatofautiana.
 
Naomba ushauri kama kuna mwenye experience au amewahi kusikia options ambazo ni productive. Mimi na mke wangu tuna miaka 4 sasa ya ndoa ya kikristo bila mtoto. Tumefanya vipimo vyote vya afya ya uzazi imeonekana mimi nina low sperm count na mke wangu hana tatizo lolote. Tendo la ndoa tunafanya kama kawaida bila shida yoyote na ndoa haina migogoro yoyote pamoja na hali hiyo lakini tunapenda sana kupata mtoto. ushauri tafadhali kama kuna njia yoyote ya asili (natural) isiyoenda kinyume na imani ya Kikristo.
Ingekuwa mwanamke ndio mwenye tatizo wala tusingekuona hapa. Sasa tuseme huko hospitali umeambiwa huo ugonjwa hauna dawa au ni nini? Kama hakuna dawa mwenzio atakuvumilia tu hivohivo, ni shida na raha. Na hizi mambo za hospitali umejitafutia shida bure, sa hizi ungekuwa na watoto zamani! Akili kumkichwa. Nakupa mbinu hii kaka niskize uzuri. Nenda chukua dawa yoyote mradi haina madhara umeze. Halafu baada ya mwezi mwambie mkeo ushapona. Utaona anapata ujauzito na maisha yataendelea vizuri. Upole muhimu.
 
cc gfsonwin
King'asti
snowhite

mie nimejichokea tu hapa
 
Last edited by a moderator:
Kama una uwezo nenda Synagogue Church of all Nations - Nigeria, jambo lako litabaki kuwa ni testimony...au tafuta mtu aliye'enda huko akupe anoiting water au kama kuna ambaye bado yupo huko akuletee.

utafunguliwa tu...Amini.
 
Ingekuwa mwanamke ndio mwenye tatizo wala tusingekuona hapa. Sasa tuseme huko hospitali umeambiwa huo ugonjwa hauna dawa au ni nini? Kama hakuna dawa mwenzio atakuvumilia tu hivohivo, ni shida na raha. Na hizi mambo za hospitali umejitafutia shida bure, sa hizi ungekuwa na watoto zamani! Akili kumkichwa. Nakupa mbinu hii kaka niskize uzuri. Nenda chukua dawa yoyote mradi haina madhara umeze. Halafu baada ya mwezi mwambie mkeo ushapona. Utaona anapata ujauzito na maisha yataendelea vizuri. Upole muhimu.
Ikiwezekana naomba ufafanue vizuri ndugu yangu naona kama njia hii imekuwa rahisi sana
 
Kama una uwezo nenda Synagogue Church of all Nations - Nigeria, jambo lako litabaki kuwa ni testimony...au tafuta mtu aliye'enda huko akupe anoiting water au kama kuna ambaye bado yupo huko akuletee.

utafunguliwa tu...Amini.
Naweza kuona umhimu wa kuangalia hii inaitwa anoiting water ni kitu gani, ni muhimu niangalie hii nielewe maana naisikia tu.
 
Kaka nna uhakika na nilicho kushauri na ukitaka ushuhuda zaidi Emmanuel TV - A Christian Television Network by T.B. Joshua ingia hapo ujionee na BWANA akubariki...na labda nikuambie sio kufunikiwa kupata uzazi tu bali hata atakaye zaliwa atakuwa ni mbarikiwa

be Blessed !

binafsi nabarikiwa na annointing water sana mkuu nililetewa walipotoka scoan kama una iman ni pm nikidogo tu MUngu anafungua milango akuna tasa juu ya israel utakuja na miujiza
 
Washauri wengi hapa, ukiondoa wale walioshauri kuhusu vyakula, wamekushauri kuchukua hatua ya mbele sana kuliko ile unayopaswa kuchukua sasa ambayo ni rahisi na ipo ndani ya uwezo wako. Kama una low sperm count unachotakiwa kufanya ni kutokufanya tendo la ndoa mara kwa mara, ili sperm zijae ziwe nyingi ndo ufanye tendo la ndoa na ndo uweze kumrutubisha huyo mkeo. Kula vyakula vya mboga za majani, wanga (wali, ugali, mikate), matunda kwa wingi, EPUKA vyakula vya mafuta mengi (fat) pia fanya mazoezi mara kwa mara na kunywa maji ya kutosha kilasiku (angalau lita moja ya maji kwa siku - siyo chini ya hapo). Aliyekushauri kunywa maziwa lita moja/zaidi kakudanganya. Maziwa kikombe yanatosha. Yakizidi yatakujazia mafuta mwilini na kukuweka hatarini kiafya. Pia EPUKA vinywaji vya kulewesha vya aina yeyote ile. EPUKA pia vitu kama soda na kahawa. Ukiweza hata chai. Maana hivi vina kemikali inaitwa "caffeine" ambayo inapunguza nguvu ya mbegu zako. Kunywa maji tu Kaka. Kaa bila kufanya tendo la ndoa kwa muda wa kama mwezi mmmoja (wakati unaendelea kutekeleza ushauri huu) ndo ufanye. Atapata ujauzito bilashaka. Hata usihofu, low sperm count siyo tatizo kubwa hata kidogo. Ukiwa na low sperm count bado unaweza kumpa mwanamke ujauzito kwa njia ya asili (yaani tendo la ndoa).
 
Asante Nyani Ngabu, hata TZ specialist kama huyo anapatikana wapi, unaweza kuwa na idea?
Kuna Dk mmoja anafanyia Tumaini hospital. Kama sijakosea anaitwa Dk Kapona. Huwa ana clinic yake na wana uwezo wa kufanya hiyo
 
Ingekuwa mwanamke ndio mwenye tatizo wala tusingekuona hapa. Sasa tuseme huko hospitali umeambiwa huo ugonjwa hauna dawa au ni nini? Kama hakuna dawa mwenzio atakuvumilia tu hivohivo, ni shida na raha. Na hizi mambo za hospitali umejitafutia shida bure, sa hizi ungekuwa na watoto zamani! Akili kumkichwa. Nakupa mbinu hii kaka niskize uzuri. Nenda chukua dawa yoyote mradi haina madhara umeze. Halafu baada ya mwezi mwambie mkeo ushapona. Utaona anapata ujauzito na maisha yataendelea vizuri. Upole muhimu.
Siku hao watoto wakiijiwa na baba zao itakuwa balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom