Ataondolewa hata Kwa bakora. Alizaliwa na hiyo Ardhi?Wananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokubwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda.
Kijana mmoja amesema hawezi kuondoka kwake kwa fidia iliyotajwa huku mwingine akisema wameambiwa hakuna sheria inayomlazimisha Rais kulipa fidia bali ni huruma ya Rais.
Serikali ilipokea bilioni 463 kwa ajili ya mradi wa bonde la mto Msimbazi ikiwemo ujenzi wa daraja na kuboresha matumizi ya ardhi katika bonde hilo, nusu zikiwa msaada na nusu mkopo.
Imepokea kutoka wapi?Serikali ilipokea bilioni 463 kwa ajili ya
Huyu jamaa sijamuelewa hiyo bil 1 anaitaka fidia kwenye hilo gorofa alilosimama? Au ni nyumba gani anayotaka fidia kubwa hivyo.Bangi mbichi hizo...nyumba anazosema ziko wap za b moja
Hivi hawa si walipewa viwanja Mabwepande na Kikwete 2012 au sio hawa?
Basi ndio shughuli yake imeishia hapo hawezi pambana na Serikali.usiombe upange chumba kwa huyo jamaa anaetaka bilion moja kila mwisho wa mwezi anakusbr mlangoni kudai hela ya kodi au umeme hawanaga kazi ya kufanya
Hadi hawa Mkuu, nakumbuka kipindi hicho nilikuwa naishi maeneo karibu na hapo na wengi wao waliyauza wakidai wanaishi mjini hawawezi kwenda maporini.waliopewa viwanja mabwe sio wale wa kipawa waliotolewa kupisha upanuz wa airport?...
Anaweza akaeleweka, labda ana hoja mzee.Basi ndio shughuli yake imeishia hapo hawezi pambana na serikali