Mkataba wa Vunjabei kutangazwa kwenye Jezi ya Simba uko wapi?

Huo ndo ukweli ambao watu wengi hatupendi kuusikia, ukiiangalia jezi kwa makini utagundua kuwa Mo ndo mtengenezaji na msabambazi kupitia Vunja bei, vunja bei ni patner tu.
 
Bila kupepesa maneno ni suala la kutafakari na kuhoji,

Vunjabei ametoa fedha kwa ajili ya haki za mauzo ya jezi za Simba. Hik kiwang cha Fedha atakipata ama na faida kama ataendelea kuuza jezi kwa msimu huu mzima.

Tunachojiuliza ni kuwa mtengeza Jezi ameweka Logo yake kwa chini pale na inakuwaga moja kama UhlSport , Umbro n.k .

Pia ikumbukwe Vunjabei siyo mtengenezaji lakini hapa anaweza kutambulika kama mtengenezaji kwa muktadha wa watanzania. Sasa ni kipi kilichomfanya Vunjabei aweke jina lake tena kwenye Shingo?. Anamlipa nani kwa hilo Bandiko?,kwa makubaliano Yepi?

Si kila jambo ni la kupuuza tu, wakati anakataa ofa ya AZA Mo aliwahi kusema Simba ina thamani kubwa na si kukubalikukubali tu kila dili. Sasa inakuwaje Vunjabei anaweka Logo lakini pia sehemu nyingine anaweka brand yake pia tena sehemu ambako kuna brand ya mdhamini pia(Shingoni).

🤣🤣
 
Back
Top Bottom