Mkataba wa pikipiki

nickson1987

Senior Member
Aug 16, 2011
191
24
Naitwa Nickson naishi dar es salaam maeneo ya tabata, Nina shida na pikipiki yaani niingie na mkataba na bosi atakaye ninunulia ntakuwa namlipa kwa wiki 70,000/= baada ya mwaka inakuwa yangu
Napatikana kwa namba 0714 064767
 
70×4×12=3,360,000

Gharama ya pikipiki kwa sasa pamoja na usajili 2,300,000- 3,360,000=1,060,000

Kwamba faida nitapata 1,060,000 na hiyo hiyo uharibike ukamatwe nk nk

Kweli yataka moyo...

Mi ninakupa ulete malengo ila sio mkataba labda ulete Laki kwa wiki
 
Hiyo kukamatwa juu ya dereva bosi
 
Kijana una vitu vifuatavyo?
1. Leseni
2. Uzoefu usiopungua miaka mitano
3. Wadhamini ambao ni watumishi wa serikali, wawili
4. Barua ya mtendaji wa mtaa unaoishi
5. Cheti cha kuhitimu mafunzo ya jkt na
6. Kitambulisho cha taifa
 
Naitwa Nickson naishi dar es salaam maeneo ya tabata, Nina shida na pikipiki yaani niingie na mkataba na bosi atakaye ninunulia ntakuwa namlipa kwa wiki 70,000/= baada ya mwaka inakuwa yangu
Napatikana kwa namba 0714 064767
Pikipiki ipo tafuta mdhamini utaipata kwa hesabu hiyo hiyo uliyosema unifuate pm
 
Kijana una vitu vifuatavyo?
1. Leseni
2. Uzoefu usiopungua miaka mitano
3. Wadhamini ambao ni watumishi wa serikali, wawili
4. Barua ya mtendaji wa mtaa unaoishi
5. Cheti cha kuhitimu mafunzo ya jkt na
6. Kitambulisho cha taifa
Cheti cha JKT ni kwaajili yanini hasa?
 
Kijana una vitu vifuatavyo?
1. Leseni
2. Uzoefu usiopungua miaka mitano
3. Wadhamini ambao ni watumishi wa serikali, wawili
4. Barua ya mtendaji wa mtaa unaoishi
5. Cheti cha kuhitimu mafunzo ya jkt na
6. Kitambulisho cha taifa
Hahaa kiutani utani tunakoelekea utakuta Chet cha JKT nacho kinakua kigezo kikuu kila uendapo
 
Nijue kama upo fiti, wahuni wakikuibukia kukukaba wakupore pikipiki kama unaukakamavu wa kuwatuliza hivyo wewe na chombo mkabaki salama. Au chombo itaenda na niwe na kazi kukuuguza majeraha ama kutoa mchango wa mazishi yako.

Tuache utani. Kweli waendesha Pikipiki na hasa Boda Boda JKT au hata Mgambo muhimu sana!
Serikali inafaa kuliona hili.
 
Naomben ndgu zang mnisaidie mkataba was pikipiki ndgu zang halafu nilikuwa naomba pia mnisaidie kunifungia GPRS track ofisi zao zipo magomen usalama utaniongezea mwezi mmoja wa deni hilo LA gprs
Watu wanafunga GPS track , that's all
 
Naomben ndgu zang mnisaidie mkataba was pikipiki ndgu zang halafu nilikuwa naomba pia mnisaidie kunifungia GPRS track ofisi zao zipo magomen usalama utaniongezea mwezi mmoja wa deni hilo LA gprs
Njoo pm boss tuyajenge tuone linalowezekana boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom