Mkataba wa Lugumi: wananchi tunaomba hizi kamati za bumge zichunguzwe

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
9,395
20,630
Kutokana na kauli tata zilizotolewa na viongozi wa kamati mbili za bunge
1. Kamati ya mambo ya nje na ulinzi
3. Kamati ya P.A.C wananchi tunaomba hizi kamati zichunguzwe, mimi nikiwa mmoja wa wananchi hao nashindwa kuelewa mantiki ya kauli hizi mbili, je nini kinachofichwa?

Kwa nini Lugumi amekimbia nchi?

Tunataka kufahamu mbivu na mbichi, magufuli umeanz kutumbua majipu usije ukatukandamiza wananchi tukianza kuyatumbua

Takukuru, TISS tunaomba msaada wenu tumbueni hawa watu
 
Back
Top Bottom