Yaani wale vipanga wote wA sheria pale UDSM walipoata festi klasi wanashindwa kuandika mikataba au kuingia mikataba iliyo na uwiano sawia baina ya pande zote mbili husika?
Si ni wasomi hao? Au sio wasomi?
Ni wasomi na sisisi non-learned brothers and sisters huku mtaani tunakuwa na maswali mengi. Hii ya wataaalam niliwai kusikia JK akizungumzia. Labda hawa watalam watueleze kuna vitu gani hivyo vina utata kwenye process ya mkataba ili wananchi tuelewe kazi yao ngumu
eti wanajiita wasomi coz hao wengine mfano madaktari,wachumi,wahasibu n.k wanapopata tatizo la kisheria huwafuata wao na kuwaomba ushauri wa kisheria,hivyo wanadai wao wamesoma na kuelimika ila wengine wamesoma tu.Ni wasomi na sisisi non-learned brothers and sisters huku mtaani tunakuwa na maswali mengi. Hii ya wataaalam niliwai kusikia JK akizungumzia. Labda hawa watalam watueleze kuna vitu gani hivyo vina utata kwenye process ya mkataba ili wananchi tuelewe kazi yao ngumu
Kwenye taasisi za kimataifa, mfano zile za UN, utaratibu mmoja wa kuingia mikataba ni kuwa mfanyakazi, bodi, mwanasheria, mkuu wa taasisi, au wakala yeyote wa taasisi, haruhusiwi kuingia mkataba anavyotaka yeye, bali anajaza karatasi ya template ya mikataba ambayo haitanzuki. Kama unayotaka ku contract hayapo kwenye template basi linatengenezwa template jipya kwanza ambalo limezingatia ma policy na masheria yenu yoooote ya mikataba, linapitiwa na pears and superiors halafu linakuwa validate. Chances of errors zinapungua na hafungwi mtu.
Kwetu tofauti. Idara za serikali hazina contract template. Katika mambo mengi wanatakiwa waongozwe na sheria ya manunuzi. Well, tafsiri ya sheria ni maoni, na unajua wanavyosema kuhusu maoni, ni kama makalio, kila mtu ana yake. Utamfungaje?
eti wanajiita wasomi coz hao wengine mfano madaktari,wachumi,wahasibu n.k wanapopata tatizo la kisheria huwafuata wao na kuwaomba ushauri wa kisheria,hivyo wanadai wao wamesoma na kuelimika ila wengine wamesoma tu.
anagalizo hawajui kua wakati wanatoa ushauri huo wa sheria wanakua wanatimiza wajibu wao kikazi na sio kiusomi au kuelimika.kama wao wanapoenda kutibiwa na madaktari au kumfuata injinia kuwajengea nyumba zao.