Mkasi na Mrembo Kidoti

nikaanza kufikiri sijui na mimi ndo napatwa na chembe za u - hater?!sikukaelewa kabisa yani na ilikuwa miongoni mwa show mbovu kabisa kuwahi kuona mwaka huu.sikujua anachoongea,nikamsikia akichekcheka tuu mwanzo mpaka wa show..yaan upuuzi mtupu!!
 
Teh teh nilijua ni mimi ndo nachukizwa na yeye kumbe wengi.Kiukwel nilidhan kitakua bonge ya kipindi, kumbe bora kina Kajala na Lulu yan anajichekesha kama kafinywa finywa vile... aliniudh kwa kweli.
Mi naona jina lake ni kichunusi sio kidoti.

Ovyooo!!!!
 

kaka hapo nilipo-bold mie ndio yuleeeeeeeee chiziiiiiii. nadhani hata huyu dada inabidi aambiwe...."HADITHI YA CHIZI"....ahahahaaaaa
 

hapo nilipo bold mie namjua aliyesema..anaitwa Mh.J.K na alisema kwenye world economic forum ilifanyika tanzania mwaka siukumbuki pale ukumbi wa mlimani city.
 

Ndio ukisikia umwanjomwanjo huo, walikuwa hawayajuwi sasa ndio hivyo tena. Wataokuja baada yao watakuwa wanajirekebisha kutokana na makosa ya hawa wenzao.

Kumbuka haya mambo ni mageni kwetu, ndio kwanza tunayaanza na si utamaduni wetu, kwa hiyo ulimbukeni tuutarajie.
 
Nilikua namwona classic sana mpaka siku nilipopata bahati mbaya ya kukaa nae! Dah! kweli beauty is skin deep!
 
Lazima ajichekeshe maana ameharibika....
nilimzoom ili nimcheck fresh,kumbe si mrembo kivile,macho kama yana uvimbe fulani hivi,inaonyesha makunyanzi yatamwanza haraka sana...kumbe ndo jokate huyo?
 
nilimzoom ili nimcheck fresh,kumbe si mrembo kivile,macho kama yana uvimbe fulani hivi,inaonyesha makunyanzi yatamwanza haraka sana...kumbe ndo jokate huyo?

Ndo jokate huyo.....mke mwenza wa Wema sepetu.
 

Ukweli ni kwamba jana hakufanya vizuri kutokana na kupayuka payuka hovyo.
 
Hapo ndo ninaposhangaaga......

kuimba yeye,kuigiza yeye,modeling yeye,author yeye
designer yeye LOL
nchi yetu level ya specialization ni ndogo sana nilifurahia alichosema dkt Rioba kwamba anaheshimu misingi aliyojiwekea katika kuishi na yupo tayari hata kupoteza ajira yake
kama endapo atalazimishwa kukaiacha misingi yake.wenzetu huwezi kukuta muigizaji amekuwa director wa movie ila huku kwetu kila mtu anajilundikia majukumu bila kuona litakavyoathiri kazi zao
 

eti mungu kamjaalia vipaji vingi sana.......

hawachelewagi kuvurunda katika hizo zingine
 
mpaka sasa sijaamini kama ni Jokate yule yule nlokua nikimuona msomi na mwenye akili
ama alilewa?
 
Hakuna hata mwenye namba yake amwambie aje huku aone "great thinkers " tunavyo-mjadili ili aweze kujifunza na siku akiwa-interviewed ajuwe tupo kumkosoa so ajipange kuanzia mavazi, mwonekano na pia ajuwe atakuwa accountable kwa kila anachokisema na sio tuu accountability inaishia pale kwenye kipindi bali inakwenda mpaka mwisho wa siku zake hapa duniani....life time accountability.
 
 
 

du wewee ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…