Duh Lizzy umekasirika mama, punguza hasira, inaonekana huyu jamaa angekuwa karibu yako ungemchapa kibao:smash: hapo sasa cpati picha kama ungekuwa ww ndo yamekukuta. HahahahahahaAlivyotungisha mimba nje alikua anategemea nini?Wakati anatoka nje ya ndoa aliomba ushauri?Nashindwa kuelewa watu wengine wanaoa ili iweje?Kama hawajatosheka na mambo ya dunia si wahangaike mpaka watakapoona imetosha?Nwyz nakasirishwa sana na watu wanaingia kwenye ndoa wakijua fika utulivu hawana!Aseme ukweli tu maana kama mtoto atazaliwa hawezi kumficha milele.Alafu kwanzia sasa hivi muwe mnaomba ushauri kabla ya kucheat sio mpaka kigeuke ndo muanze kutoa machozi ya mamba!
Aseme mimba yake,na ndo akome kutokatoka nje............lakini mbona unacheka na jamaa ana tatizo kubwa??:smash:Wakuu, nimepata message toka kwa jamaa yangu tunayeheshimiana sana akieleza mkasa uliompata jioni ya leo...
.
Wonders will never end kwa kweli!
Jamani, nashindwa nianzie wapi kumshauri huyu broda cha kufanya!...ha ha haaa!
Hebu jameni pimeni situation hii, na kutoa ushauri kwa huyu raia!
Jomba, najua magnitude ya shida ya huyu mtu.... kucheka huko ni kwa machoni tu, kimoyo namwombea dunia ipasuke azame huko!Aseme mimba yake,na ndo akome kutokatoka nje............lakini mbona unacheka na jamaa ana tatizo kubwa??:smash:
ushauri:
mwambie huyo jamaa yako atulie kwanza yaani asiseme chochote mbele ya mkewe kwa sasa.....akiona upepo umebadilina na unavuma kwa 1.12km/hr basi aanze kwa kumwambia hivi....''leo usiku nina mazungumzo na wewe baada ya chakula cha jioni'' halafu aende job...ikifika jioni akirudi, asiwambie lolote mkewe ila alale na kumwambia kulingana na mda na hasa ukizingatia kwa sasa ni usiku naomba tuongee wkend maan takuwepo home.....anatakiwa haya ayaseme kwa lugha ya upole sana....mke lazima atakuja juu kwa mda then atanyamaza...ikifika wkend baada ya chai amwite kwewe chumbani na wajifungie huk ili watoto ( kama wapo wasisikie) then aanze kwa kumwambia ukweli wote........
lakini kama tayari amesharopoka manen ya ajbu kule home basi amejiharibia maana mke tayari ana picha tofauti kichwani....lakini kama tang mke akione hichi kidude na kiko positive ndan ya suruali then akakoroma kw mda na kutaka apewe maelezo na jamaa hajayatoa maelezo hapo sasa inabdi acheze na psychology ya mke wake.....basi akae nae na amwambi yote....mke lazima ataelewa maana kwa hakika huyo jamaa yak hana ujanja isipokuwa kama anamtaka huyo mwanamke abaki basi inabidi afanye mchezo wa kijasusi kama
steganography na cytograph( anaweza kunipm nikamweleza zaidi juu ya hii kitu maana tunasema ''not everything you see is as it is) hii itasaidia kuondoa hofu kwa mama na atabki hana hatia huyo jamaa yako...otherwise kama tayari amesharopoka kitu huko home basi amejimaliza na hapo asubiri hekima ya mwanamke basi......by the way huyo jamaa yako wa ajabu sana sasa alipopima na kuona hiy kitu kwa nini asikatupe kale kadude? kwa nini akakaweka mfukoni? wa jabu kweli na nimemshangaa sana....[/COLOR]
Wakuu, nimepata message toka kwa jamaa yangu tunayeheshimiana sana akieleza mkasa uliompata jioni ya leo...
.
Wonders will never end kwa kweli!
Jamani, nashindwa nianzie wapi kumshauri huyu broda cha kufanya!...ha ha haaa!
Hebu jameni pimeni situation hii, na kutoa ushauri kwa huyu raia!
Duh Lizzy umekasirika mama, punguza hasira, inaonekana huyu jamaa angekuwa karibu yako ungemchapa kibao:smash: hapo sasa cpati picha kama ungekuwa ww ndo yamekukuta. Hahahahahaha
Hivi jamaa ni daktari au ??
Soma bana....alishajibu kwamba sio.
bora wewe useme , me nawazaga hata nakosaga majibu, km hawajamaliza mambo yao kwann walioa na wanaendelea kututongoza,Alivyotungisha mimba nje alikua anategemea nini?Wakati anatoka nje ya ndoa aliomba ushauri?Nashindwa kuelewa watu wengine wanaoa ili iweje?Kama hawajatosheka na mambo ya dunia si wahangaike mpaka watakapoona imetosha?Nwyz nakasirishwa sana na watu wanaingia kwenye ndoa wakijua fika utulivu hawana!Aseme ukweli tu maana kama mtoto atazaliwa hawezi kumficha milele.Alafu kwanzia sasa hivi muwe mnaomba ushauri kabla ya kucheat sio mpaka kigeuke ndo muanze kutoa machozi ya mamba!