Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 406
- 528
sasa kwanini aliniuliza?Punguza ujuaji
Alitaka nimlipeKushuka pale pale si ndo ingekuwa rahisi uka request usafuri mwingine??
Yani umerudi tenda nyuma,dah nisingeweza kufanya hivyo
Dawa ya madereva ni watoto wa JW waliotoka depoUmepata Changamoto gani wakati umetumia usafiri wa Bolt, Farasi au Uber?
Juzi kati hivi niljikuta katika migogoro moja na dereva wa bolt, Nilipanda bajaji kutoka palm village nikiwa naelekea Temeke.
Tufika njia panda ya Morocco na alinuliza tunapita njia gani, nikasema napendelea ya magomeni. Akasema tunapita ya mjini na nilikataa kisha akasema huwezi mpangia dereva barabara ya kupita, akasema ananishusha
Nilimwambia nirudishe ulipo nitoa, ila nilikuwa ninahofu kubwa sana kwa sababu angeweza nifanya lolote kama kunipitisha njia nisiyo taka.
Alinishusha palm village nikarequest tena na kuelekea katika harakati zangu, Je wewe ni Mikasa gani imeshawahi kukutokea wakati unatumia usafir wa mtandaoni?
hhehehe sawasawaHii biashara ni Changamoto mno kwa madereva hivyo abiria chunga mdomo wako.
nilifika baada ya kubadilisha boltKama ulifika unakoenda inatosha
kwani hao wa uber wametoka ulaya si ndio haohaoPanda gari, muambie dereva fuata ramani.
Kwisha kazi. Uber haina makelele.
Nyie matajiri wa keyboard mnafsnyaje kusafiri?wengi wanao request ni masikini ndo maana migogoro na madereva haiishi
Umepata Changamoto gani wakati umetumia usafiri wa Bolt, Farasi au Uber?