Kusema kweli sitokuja kusahau hili tukio katika maisha yangu yote.
Ilikua ni siku ya Jumamosi ambapo niliingia Instagram nikakutana na akina dada ambao ni wajasiria mwili na number zao za simu wameweka.
Pasipo na hiana nikachukua number na kuanzi kuwasiliana na mhusika kwa njia ya whatsup. Wengi mnajua aina ya maongezi wakati unawasiliana na watu wa aina hii.
Ikafika mahali tukakubaliana Tuonane, alitaka 15,000 lakini nikamuomba kwa 10,000 akakubali ola alitaka nimtumie nauli 5,000 kwanza.
Kwasababu nilikua nafanya utani sikua seroius nikawa namzungusha kutuma ile 5,000 alipoona situmi aka screenshot maongezi yangu mimi na yeye pamoja na picha yangu aliyochukua kwenye DP akaniambia kama sijatuma ile 5,000 angezituma istagram.
Niliishiwa Nguvu na kujutia kwanini nilifanya utani wa aina ile!! Sikumtumia ile 5,000 kwasababu nilijua kama ana lengo la kusambaza yale maongezi hata kama ningetuma bado angesambaza tu.
Nitoe rai kwa wanaume wenzangu. muwe makini sana na hawa dada wa mitandaoni
TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.