Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
HADITHI: KOVU LA MAPENZI
MTUNZI: Aloys James Mabina
Toleo: 01
Simu: 0717272313
KOVU LA MAPENZI
SIMULIZI YA KWELI
UNAWEZA kukosa kila kitu maishani lakini siyo mapenzi, Mapenzi ya kweli hayana maskini wala tajiri yakikuchanganyia ni dawa inayotia faraja moyoni lakini yakikuchachia ni sumu inayoua kabisa. Sebi kijana anayetokea katika familia maskini hana matumaini ya kuishi maisha ya furaha kama vijana wengine, anakutana na mitihani mingi katika maisha kiasi cha kusababisha KOVU LA MAPENZI kwenye maisha yake na kujikuta akijutia. Je nini hatima ya yote haya? Fuatana na mtunzi wa simulizi hii ya kusisimua ALOYS .J.MABINA upate kujifunza kitu. ALOYS JAMES MABINA ni mchoraji na mtunzi wa siku nyingi, hapa anadhihirisha ubora wake katika simulizi hii akilenga zaidi kukuelimisha na kukuburudisha.